You can chop ma money.......

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kijana wa Ki Nigeria akivuta jiko lake...

Hili ni jiko au jokofu?????
chop ma mony.jpg
Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
age aint a thing but a number,am looking for white man myself...old lol
 
By Neema "age aint a thing but a number,am looking for white man myself...old lol" Kama uko serious huwezi kukosa Mdgungu make kwenye pic yako naona umejaaliwa maeneo flani ambayo wenzetu weupe wanapenda kuyatumia kabla ya watoto
 
"By Madamex" Mmmh makaratasi magumu jamani... hilo neno make kijana akishakamata makaratasi yake Ajuza wa kidhungu anapigwa chini kisha jamaa anamleta demu wake wa Ki- Nigeria wale maisha baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mume wako muulize Mungu

Alisha muumba For You, Ukiweka vigezo vya mapaka Rangi Utapata Mwanaume lakini SI MUME WAKO
 
Kijana wa Ki Nigeria akivuta jiko lake...

Hili ni jiko au jokofu?????
View attachment 50635
Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Kupata makaratasi itabidi uowe mwanamke umri kama wa mama yako ili mradi upate makaratasi ya kuishi Ulaya jamani kuishi kuna kazi jamani wabongo wenzangu msije huku maisha magumu sana kuowa itabidi uowe vinyanya ili uweze kuishi na kupata kazi kweli na ulaya yetu hii.
 
Dah! Njaa mbaya sana aisee!
Mkuu sio njaa ni njia ya kuishi. Hayaja kukuta wewe kama wewe upo Tanzania bora uishi huko kuliko kuja huku nje ughaibuni, ni matatizo tu hakuna maisha mazuri kama kuishi nyumbani . Home is best mkuu kuna huku Wanigeria wanafanya kazi za kuokota chupa mbovu Matakataka mabox ili waweze kuishi ukiwaona utawaonea huruma pasipo na hivyo wataishi kivipi mkuu? tembea ujionee mwenyewe njoo ulaya uone watu wanavyoishi.
 
Back
Top Bottom