mke mwenza morning! kubali wito, kataa maneno! ngoja niende nimsikilize shshshshs usimwambie hubby wetu Asprin!
MWAHHHHHH! KHA! :busumke mwenza mie mzima tu, naamini umeamka poa, nenda tu kamsikilize, siri yetu...
napata oxygen
umbea hauna posho x wangu! habu niache nikasikie nilichoitiwa!
So serious.....
Thanks dear. I wish tungekuwa tumejuana mapema.
Hatujachelewa.
Yupo kajaa tele..ananoiandalia uji huko! LOL
Mambo!
Vipi nitakukuta pande zipi?
:behindsofa: :closed_2:
unashangaa nini?? mi mithd u kha!Whaaaaaat.......?
Mambo!
Vipi nitakukuta pande zipi?
Come this way.......>>>>
unashangaa nini?? mi mithd u kha!
I know you know where to find me... Am I right, darling? FYI leo sikosei jina lol