Amen!! mimi na Mke wangu
shansarie..
Tukiungana na marafiki zetu wote!!
Mtoto halali na hela,
Mr Rocky na mkewe
Dena Amsi..
Arushaone na mkewe
Lady doctor..
'Valentina' na waume zake wote..
Mentor na mkewe
mwallu
Eli79 na michepuko yake yote mtoe
everlenk na
cute b na
atoto hawa walimgomea.. usimtoe
prado!!
Khantwe yule anayekaribia kuzeeka
janeth1 na mumewe
Mwanyasi!!
Kibo10 na
charty.. ni wengi sana aisee
Japo watakuja wenyewe lakini,
niseme!! Tunakutakia maisha marefu... Sikuwahi kufikiria kama tungejuana muda mrefu hivi..
Heaven on Earth uko wapi utoe pambio, si ushafuturu!?