You are not my type

Ndio vizuri, sio mtu anakomaa kuuliza kama vile anakudai vile
 
Biblia inasema wote tuliumbwa kwa udongo sasa ukiniambia mimi sio type yako.. nabaki na maswali au mwenzangu uliumbwa na zege..

any way if you can't love someone at least don't hurt them,, iwe kwa nia mbaya au nzuri I'm not your type hii neno linaumiza sana bora utumie busara mwambie mtu walau sina hisia na wewe
 
Hahaha ila inataka moyo wa chuma kumjibu mtu hivi
Hilo jibu inabidi liwe moyoni tu kwamba huyu mtu hana vigezo hitajika, ila unamtafutia jibu lingine lolote ambalo hatoumia kuliskia, tena ukimpata kaka amejipindia ukamjibu hivo, atakushushua hadharani mpk ujute, utaskia "wewe Dada mwenyewe unahadhi gani wewe na pua yako kubwa kama umeweka tonge la ugali, miguu imefanyaje fanyaje dooh, aibuuu
 
Kuna mtu kajibu kwa matusi yalio vuruga nyongo yako kabsa
 
Sijasema kirahisi kwani hujui wahenga walisema mtaka cha uvunguni pindua tanda taona? Inabidi ME awe mvumilivu kama kweli anamtaka mhusika kwa kutumia gia tofauti na inaweza kabisa ikawa miezi kadhaa wa kadhaa 😜😜😜

Picchu inavuliwa kirahisi namna hiyo
 
Alafu wanaume ndio tunazingua utakuta msela katongoza katemwa tunamcheka mpaka analia kimoyo moyo, tunaweza tusikikucheke siku hiyo uliyotemwa lakini siku ukileta matani record zako tunazo jinsi ulivyokua unalilia totozi , ndio maana tukiwa tunakula mzigo kimoyo moyo huwa tunawatukana kishenzi hawa mademu ulikua unajifanya queen haya chukua hiyo mashine , hapo kitoto cha watu kipo deep throat kinakohoa tu unasema na ukome nyodo
 
umenikumbusha ile pua inajaa kwenye screen
 
Siku zinakuja ambapo utatamani muendane wakati huo na yeye atakuwa amepata wakuendana nae.
HATUENDANI ina maana nyingi. Tatizo mnaangalia upande mmoja kuwa alieambiwa ni inferior kwenye Jambo moja au jingine. Mnaweza msiendane tabia,Imani,malengo,utamaduni etc etc na haya unaweza kuyagundua kabla au mkiwa kwenye mahusiano.
 
Haha ni kweli mkuu
 
HATUENDANI ina maana nyingi. Tatizo mnaangalia upande mmoja kuwa alieambiwa ni inferior kwenye Jambo moja au jingine. Mnaweza msiendane tabia,Imani,malengo,utamaduni etc etc na haya unaweza kuyagundua kabla au mkiwa kwenye mahusiano.
Haswaa hiyo ndio point yangu
 
ni ubinadamu tu..kutumia maneno mazuri kama mtu sio wa 'viwango' vyako..

.kumuambia mtu sio type yake mie naona ni dharau!...

unamuacha mtu feeling inadequate....

..anawaza saa zote hao wa type yako sijui wakoje? lol
Yaani ukiambiwa "siyo type yangu" siku inaharibika, kila kitu hakiendi unawaza unajiona hufai au labda unakasoro isiyovumilika!! Hapana kwakweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…