Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,558
- 2,603
Hata sisi tunakataliwa binamu
Mi ukinambia sio type yako inabidi unioneshe kabsaa huyo taype yako yupoje!!!!!
kuweni makini wanaume wengine ni machizi wa akili mjibu hovyo alafu aje kukuchinja nadhani umesikia kwenye vyombo vya habari swala kama hilo , mnashida sana wew huna habari unatembea kumbe kuna kichaa fresh anakupigia mehesabu alafu unakuja kumchambua kwa nyodo ataondoka na titi moja hilo.
Madem wataalam wakiona vidole vyako vya mkononi tu wanajua kidole chako cha sirini kilivyo.
Ndoivo aiseeKabisa ili uweke kwenye uzani
Wengi tu. Wengine member wa hapahapa Jf
Hapana mama hiyo kauli haiko sawa.Najua hauko hivyo mwanangu nimekulea vema kabisa