You are not my type

jichanganye tu,,,hapo ndipo utapojua tofauti ya mafuta ya chemli na ya ndege ingawa yote ni kerosene!
never, nimeamua kujipa mateso na nitakaa nayo hadi kufa. Nikiona yuko na mtu naumia kishenzi, siku akioa nadhani nitalazwa ila bado simpi.
 
Hahah hapo umkute bro wangu msela kinyama, atakuchana kinoma wala hakurembei. Lazma ujione kinyesi tu hata ukiwa mzuri ka beyonce. Kesho mkikutana unamsalimia kwa adabu kinoma
hahaaaa, huyo noma na anakuchana ile kukuboa tu sababu umemkataa,ila kimoyoni anakukubali mpk akaamua kukutokea, wakaka bwana.
 
Tufanye assumption ndogo tu... Hivi unafikiri kwa mfano, ni wanawake wangapi wanaweza kutoa hiyo kauli kwa mtu mwenye pesa? - assume mtoto wa Mengi hapo halafu unamwambia wewe sio type yangu... unadhani ni kitu ambacho ni possible and practical???
Hilo atalikataa tu, mwanamke ana hulka hio ya kukataa ukweli unaomgusa...Ila kimsingi tukisema tuokote idadi ya wanawake 15 au 20 tu toka hapa jf kama sample. Ukawawekea choice ya Mo dewji na Linex halafu ukawapa uhuru wa kuchagua yupi wa kudate nae above 50% wataangukia kwa Mo Dewji!
 
hahaaaa, huyo noma na anakuchana ile kukuboa tu sababu umemkataa,ila kimoyoni anakukubali mpk akaamua kukutokea, wakaka bwana.
Anakupaka tu maana si umejiona cake! Yani lazma uwe mdogo kama ni nyodo lazma utafyata tu af mnaendelea kuheshimiana.
 
Ni kweli takwimu zako ziko sawa lakini una uhakika wa nani ataangukia kwa Linex na nani ataangukia kwa Mo?
 
Nimelog in ili nikupe like kwa kuandika busara kiasi hiki,kumbe still kuna wadada wana busara kama wewe aisee!!!
Usidanganyike na busara ya mtandaoni. Wakizima data watu wako tofauti sana na wanayoyaandika.
 
Hahah huyo mwamba muhuni kweli, hizo ndio style za bro wangu kabisa yani...jamaa ni msela kinyama akikuchana lazma ujione mavi! Yani mademu wenye nyodo wanakomaga kuringa yani af wanakuwa marafiki zake sana after sometime...wakipita utaskia mudy mamboo!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndo ukweli wenyewe lakini.. Pesa pesa pesa..
 
Ni kweli takwimu zako ziko sawa lakini una uhakika wa nani ataangukia kwa Linex na nani ataangukia kwa Mo?
Hapo ndipo fumbo lilipo, na ndio itakuwa base ya facts nilizotoa awali kama assumptions. Majibu yatatokana na choices!
 
never, nimeamua kujipa mateso na nitakaa nayo hadi kufa. Nikiona yuko na mtu naumia kishenzi, siku akioa nadhani nitalazwa ila bado simpi.
Jinga kabisa, sasa kumbe unampenda tayari ila unajitesa yani wanawake bana ila ipo siku utajikuta umempa tu. NaimaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jinga kabisa, sasa kumbe unampenda tayari ila unajitesa yani wanawake bana ila ipo siku utajikuta umempa tu. Naimani
It has been eight years
kama sikumpa enzi za ujana ndio nitampa leo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…