You are not my type

kama namuona vile
 
Kawaida,
Kuna mwenzio nimemwambia yeye sio aina ya mwanamke naetaka kuwa nae.

Yeye ni mlokole, mkimya, anavaa manguo makubwaaaa....

Mangi hada dini, mcheshi na mkorofi, anapenda type zinazovaa min sket, skin jins.....

Akacheka akasema kweli hatuwezi endana....

Nilisha ambiwa pia hivyo na mwanamke mwenzio kuwa mimi sio type yake....

Hakunipa sababu lkn, ila nilichukulia poa...
Nilichukulia poa kwakua sitongozagi kwa kukumpenda mtu....

Chakufia nini???
 
Mangi wewe umedadavua vizuri, nilitaka kuweka mfano hiyo scenario yako nikafuta baada ya kuona uzi unakuwa mrefu mno
 
Siku ukute mwamba mimi ndio nimeamua kukushushia bars yani nimetumia akili yangu, muda wangu, nguvu zangu verse nimepangilia afu uniletee huo ulofa ndio ungeona cha mtema kuni; yani ungenieleza sababu ya serikali japo kuwa na mamilioni ya pesa ila haikuwahi kutoa video ya wimbo wa taifa.
 
Suala hapo sio kuambiwa hivyo, shida ni yale maneno yanavyotamkwa yakiambatana na vitendo vya dharau kama vile kunyooshewa vidole
 
Sio uungwana, ni dharau za wazi tu. Lakini kuna nawe yatakusibu kama ulivyotenda kwa wengine.

Kwa mimi silence is the best answer, kama mpo kazini shirikisha wengine kama hataki kukuelewa kiwa humtaki ili yaishe.

Kama ni kitaa mkimbie tu, kuna demu nilimtokea akasema siwezi ki date na wewe,

Aliposikia na nafanya kazi, akaanza ooh! Nakupenda sijui nini?

Kwa wanaume wote:

Betrayal leaves wounds and scars that made you stronger.

Acha kulilia mapenzi, wewe sio wa kwanza kukataliwa hapa duniani. Muache aende tu. Kama ipo ipo tu.

Kumlazimisha mwanamke akupende ni sawa na kumfunza nguruwe usafi na uzuri wakati mwenyewe hataki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…