Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,929
Makampuni ya minada ni biashara kama zilivyo biashara nyingine..... Ili iweze kuitwa biashara ni lazima kuwe na pande mbili muuzaji na mnunuzi kisha ni lazima kuwe na faida! Hasara ni bahati mbaya...
Kwenye hili kuna kuzidiana uwezo, nguvukazi, weledi mtaji na umaarufu
Yono ni mojawapo ya kampuni kongwe za udalali Tanzania ikiwa imeshafanya kazi kubwa na ndogo, z serikali na za mashirika mbalimbali na hata watu binafsi.... Mpinzani mkubwa wa Yono ni Majembe... Hawa unaweza kuwaita watani wa jadi... Cha kushangaza ni kwamba hizi kampuni mbili za udalali umaarufu wao huenda sawa na vipindi vya urais.... Nifafanue hapa!
Yono alikamata soko wakati wa mzee Mkapa, Majembe akakamata soko wakati wa brother JK..... Kipindi cha JK Yono alikuwa hoi hasa alipigika... JK alimpiga Yono chini kutokana na past record ya kuvurunda sana.....
Baada ya JK kung'atuka, aliyemfuatia akaipiga Majembe chini... Na si kupigwa chini tu bali na yeye mali zake kupigwa mnada baada ya kushindwa kesi ya madai wakati huo akiwa ni mkamataji wa wrong parking kwa niaba ya halmashauri ya Kinondoni... Kwasasa Majembe is no more!
Yono alikuja na nguvu mpya, kwa kasi ya ajabu kabisa awamu hii ya 5..... Lakini tayari historia yake inajirudia kwa kasi... PROVING BIG FAILURE...!!!
Ishu ya mnada wa mali za Lugumi kama Yono angeifanikisha ingemjenga parefu sana... Lakini wote tumeshuhudia sinema mwanzo MWISHO wa ule mnada ulioshindikana mara zote
The same old story inajirudia kwenye mnada wa makasha 20 yenye samani mbalimbali za ofisini.....
. Je ni coincidence?
. Je ni maelekezo maalum?
. Je Yono hana uwezo?
. Je anatumiwa?
. Je anafaidika?
. Je anafaidikaje?
. Je.....!?
. Je....!?
. Je....!?
Kwa utendaji wa Yono na historia yake maswali ni mengi kuliko majibu ila kuepuka ramli chonganishi tuache muda utasema... Muda ni hakimu mzuri.. Hajawahi kumwangusha mtu...!!!!
KACHUMBARI YA SALO NA MBILIMBI
bia zimepanda bei... Hazijashuka...! Kama tulivyotangaziwa na wateule
Jr