Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
AitheeDuu mm nasikitika sana bia kupanda bei maana muda mwingine huwa najiliwaza na chupa moja napunguza mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
AitheeDuu mm nasikitika sana bia kupanda bei maana muda mwingine huwa najiliwaza na chupa moja napunguza mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hakika ulimfahamu Marehemu. Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi huko alipo.Yeah mkewe alikua mwarabu ,not ujanja ujanja wa utapeli ,yaani Mnyamwezi sio km wazee wengine ,alifariki tumemzika kinondoni
Biashara yake kubwa ni madini ,sio dhulumati kbs ,akipata pesa mtaenjoy vijana wake wote
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Dah hivi alillipwa bei gani? Apumzike kwa amani yule ndio kiboko ya MajembeNi Mzee Wangu yule, Marehemu Meda Karunga ,ila hakua Mhadhiri wa chuo ,nimekaa nae Mikocheni B ,na bar zetu kubwa ,Mkonyiz,Fortas na Limbachia , ila yote uliyoeleza ndivyo ulivyokua
Hizo pesa za kuuzwa hapo tumelia sana bata ,kiasi siwezi simulia hapa
Mchezo wote ule naujua A to Z
R.I.P Mzee Meda Karunga
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Merehemu Medard alipenda sana kesi na alikuwa anatumia wanasheria mahili sio hawa wanaojiita wanasheria wasomi. Nilikwepa sana katika biashara zetu kufikia mahala pa kupelekana Mahakamani. Maana ukisimama nae Mahakamani ulikuwa huchomoi. Sijui alikuwa anatumia kizizi(Jokes)...Dah!Dah hivi alillipwa bei gani? Apumzike kwa amani yule ndio kiboko ya Majembe
Jr[emoji769]
Hahaha,kweli Mkuu kuna vitu nimejifunza toka kwake vingi tu ,hasa hili sakata ,na mengine mengi[emoji23][emoji23][emoji23]Daddy n Son... Kwa vyovyote kuna maarifa baadhi kakurisisha
Jr[emoji769]
Hivi kifo chake hakina mkono wa Majembe? Maana ni fundi wa kupuliza.... Btw pamoja na Majembe ya posts kuniumiza lakini Majembe ya Mwenge nilifanya nao biashara nyingi tuHahaha,kweli Mkuu kuna vitu nimejifunza toka kwake vingi tu ,hasa hili sakata ,na mengine mengi
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Asee mengine kuandika humu sio mazuri ,Kifupi aliuumwaHivi kifo chake hakina mkono wa Majembe? Maana ni fundi wa kupuliza.... Btw pamoja na Majembe ya posts kuniumiza lakini Majembe ya Mwenge nilifanya nao biashara nyingi tu
Jr[emoji769]
walikuwa na kiburi sanaMajembe kasahaulika.... Kaumiza wengi sana yule... Mimi nikiwa mmojawapo
Jr[emoji769]
[emoji15][emoji3][emoji3][emoji3][emoji120][emoji120][emoji120]unapokuwa mlozi wa kisasa raha sana, ninakukubali sana mzee baba Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
Naavache. Inawezekanaje faini ya gari moja fidia iwe kubwa kiasi cha kufilisi kampuni?Nimekuelewa
Jr[emoji769]
Ile ishu ,Jamaa aliichora vzr mno kiasi kwamba majembe hakuchomoka hata chembeGharama za kesi, faini, fidia na malimbikizo
Jr[emoji769]