Yono auction mart! Maswali mengi kuliko majibu

Yono auction mart! Maswali mengi kuliko majibu

Hii minada mikubwa kabla ya kufanyika hao auctioneers wahakikishe electronic media particularly radio na tv +online tvs zinapewa matangazo....or watumie hata social media marketing strategy...nilichobaini minada imekuwa ikifanyika ilhali wateja tarajali wakiwa hawajui lolote.....tatizo auctioneers wanatumia magazeti zaidi ambayo hayawafikii watu wengi kwa wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia historia kwa uzuri utaona kwamba Majembe ndio wenye nguvu kulinganisha na Yono.

Majembe (Venance Mwamoto na mama Ritta Kabati ndiyo wakurugenzi wa sasa) ameanza kabla ya Yono ambae kitaalam ni mhasibu (bwana Yono Kivella)

Majembe mpaka sasa anatawala soko kwa kuwa na wateja wakubwa kama DAWASCO, TRA na SUMATRA.

Kila mteja mkubwa na wa kati akiuliza Auctioneers maarufu na mzuri basi anaambiwa kati ya hao wawili, ila Yono huwa anakuwa nyuma.

Ni hiyo "strong base" ya wateja na "connections" inamweka Majembe juu ya Yono ambae alianza shughuli hizo na mkewe Scholastica mwaka 1998.
TRA wanafanya kazi na YONO kwa sasa, mkuu!
 
Hii minada mikubwa kabla ya kufanyika hao auctioneers wahakikishe electronic media particularly radio na tv +online tvs zinapewa matangazo....or watumie hata social media marketing strategy...nilichobaini minada imekuwa ikifanyika ilhali wateja tarajali wakiwa hawajui lolote.....tatizo auctioneers wanatumia magazeti zaidi ambayo hayawafikii watu wengi kwa wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magazeti ya sirikali

Jr[emoji769]
 
Nilichoona wale waliokua wanataka kununua walipangwa. Haiwezekani mtu aseme anataka kununua kontene zima kwa milioni 7 halafu inapanda mpaka 15 hapakua na mnunuzi pale. Kuna mmoja alikua anajipandishia mwenyewe. Eti 9
10. 11
12 mtu huyo huyo. It looked fake to me
 
Nimesoma yoooote mpaka chini, ila kilichonigusa na kunisikitisha ni hizo mistari mbili za mwisho. So sad
 
Kama uliwahi kufanya kazi na watu wa Majembe, Yono au kampuni zingine za udalali au kama uliwahi kununua mali kupitia minada waliyoendesha hao jamaa wawili kujua hilo haiwezi kukupa shida sana. Kiufupi kuna usanii sana uwa unafanyika kabla, wakati wa mnada na baada ya mnada. Nina uzoefu wa kutosha na minada iliyoendeshwa na Majembe na Yono. Mfano pale mnada wa jana kulikuwa na mapandikizi ya Yono. Inatosha.
 
Hizi majembe ile yard yao pale Mikocheni/mwenge km unaenda cocacola bado wako nayo?

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Nimesoma yoooote mpaka chini, ila kilichonigusa na kunisikitisha ni hizo mistari mbili za mwisho. So sad
[emoji102][emoji102][emoji15][emoji15][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom