Now we're are talking the same languageMimi ni mlipakodi mzuri lazima nizijue bidhaa zote
Jr[emoji769]
Was he the same Dr.?Nilichoona wale waliokua wanataka kununua walipangwa. Haiwezekani mtu aseme anataka kununua kontene zima kwa milioni 7 halafu inapanda mpaka 15 hapakua na mnunuzi pale. Kuna mmoja alikua anajipandishia mwenyewe. Eti 9
10. 11
12 mtu huyo huyo. It looked fake to me
Mshana Jr biashara sio kitu kirahisi kama mnavyofikiria unawezaje kupata 1billion kwa vitu vilivyotumika harafu ni viti na ubao jinsi vilivyopangwa ndani vipo robo kontena...zile kontena zingekua na TV flat,Radio au vitenge hata magari yangeuzika haraka ila viti kupata hiyo pesa msahau kabisa na msimlaumu mtu..
Nisome vizuri kuhusu historia ya Yono, hiyo ishu ya makontena ni sehemu tu ya mengi yaliyotokea kablaMshana Jr biashara sio kitu kirahisi kama mnavyofikiria unawezaje kupata 1billion kwa vitu vilivyotumika harafu ni viti na ubao jinsi vilivyopangwa ndani vipo robo kontena...zile kontena zingekua na TV flat,Radio au vitenge hata magari yangeuzika haraka ila viti kupata hiyo pesa msahau kabisa na msimlaumu mtu..
Yono ambae alianza shughuli hizo na mkewe Scholastica mwaka 1998.
Ninachokueleza TRA sio wafanyabiashara wala hao Yono Nyumba wanaambiwa wauze bei isiyo sokoni utauzaje? hayo makontena hata kwa kununua hayafiki 500 million kama ni ubao na vile viti vilivyotumika nilivyoviona ndio maana wanachaji kodi kubwa wakidhani wafanyabiashara wanapata pesa ndio wanapata pesa ila sio kwa kuuza viti na ubao...Nisome vizuri kuhusu historia ya Yono, hiyo ishu ya makontena ni sehemu tu ya mengi yaliyotokea kabla
Jr[emoji769]
Ninachokueleza TRA sio wafanyabiashara wala hao Yono Nyumba wanaambiwa wauze bei isiyo sokoni utauzaje? hayo makontena hata kwa kununua hayafiki 500 million kama ni ubao na vile viti vilivyotumika nilivyoviona ndio maana wanachaji kodi kubwa wakidhani wafanyabiashara wanapata pesa ndio wanapata pesa ila sio kwa kuuza viti na ubao...Nisome vizuri kuhusu historia ya Yono, hiyo ishu ya makontena ni sehemu tu ya mengi yaliyotokea kabla
Jr[emoji769]
Kweli kabisa, watumie TV na radio ili kuwapata wateja wengi zaidi. Na hili la kusema dalali Yono ni muhasibu sio sababu za kufanya akwame kufanya mnada, kwenye uhasibu kuna baadhi yamambo yanaingilia na marketing kwa kiasi kikubwa, tuwape muda.Hii minada mikubwa kabla ya kufanyika hao auctioneers wahakikishe electronic media particularly radio na tv +online tvs zinapewa matangazo....or watumie hata social media marketing strategy...nilichobaini minada imekuwa ikifanyika ilhali wateja tarajali wakiwa hawajui lolote.....tatizo auctioneers wanatumia magazeti zaidi ambayo hayawafikii watu wengi kwa wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, hicho kisa simulia ,cz kuna Mzee mmoja Rafiki yangu, kwa sasa Marehemu Mzee Meda Karunga alihusika sana ktk hy ishuWalifilisiwa ile nitasimulia kilichotokea
Jr[emoji769]
Nadhani atakuwa yeye alikuwa mhadhiri chuo kikuu, siku moja mitaa ya magomeni polisi Majembe wakalimataka gari lake wrong parking, lakini hilo eneo halikuwa na alama yoyote inayoonyesha wrong parkingHahaha, hicho kisa simulia ,cz kuna Mzee mmoja Rafiki yangu, kwa sasa Marehemu Mzee Meda Karunga alihusika sana ktk hy ishu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Maeneo ya Mabibo mkuu. Kitu baridiiiiii Alc% ni 7.5 ushindwe wewe tu kiongozi.[emoji15][emoji15][emoji15]wapi huko nizisafirie
Jr[emoji769]
Ni Mzee Wangu yule, Marehemu Meda Karunga ,ila hakua Mhadhiri wa chuo ,nimekaa nae Mikocheni B ,na bar zetu kubwa ,Mkonyiz,Fortas na Limbachia , ila yote uliyoeleza ndivyo ulivyokuaNadhani atakuwa yeye alikuwa mhadhiri chuo kikuu, siku moja mitaa ya magomeni polisi Majembe wakalimataka gari lake wrong parking, lakini hilo eneo halikuwa na alama yoyote inayoonyesha wrong parking
Wakaivuta mpaka Mwenge kwenye yard, kesi ikaenda mpaka mahakamani, mzee akashinda kesi
Halmashauri ya Kinondoni kuona kesi inawaelemea wakamuachia Majembe msala
Baada ya muda kupita mzee akadai fidia yenye riba kubwa, akakamata mali za Majembe (mengi la mwenge) likapigwa mnada akanunua mchina ila Majembe hakutoka ilikuwa kipindi cha JK
Baada ya mzee baba kushika haramu na kumpiga chini Majembe, ndio mzee akakazia hukumu, Majembe akatimuliwa
Jr[emoji769]
Hahahahaha. Eti "utadhani mimi mchawi"....mzigo uko maeneo hayo mkuu.Utadhani mimi mchawi niko Maziwa hapa nilikuwa nahisi tu ni mitaa hiyo
Jr[emoji769]
Huo mchezo ulikuwaje mkuu!?Ni Mzee Wangu yule, Marehemu Meda Karunga ,ila hakua Mhadhiri wa chuo ,nimekaa nae Mikocheni B ,na bar zetu kubwa ,Mkonyiz,Fortas na Limbachia , ila yote uliyoeleza ndivyo ulivyokua
Hizo pesa za kuuzwa hapo tumelia sana bata ,kiasi siwezi simulia hapa
Mchezo wote ule naujua A to Z
R.I.P Mzee Meda Karunga
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ndio huyo huyo,msome Mshana Jr hapo kaelezeaHuo mchezo ulikuwaje mkuu!?
Embu tumbuka kidogo tu. Maana Majembe alipigwa za uso mbaya.
Huyo Mzee uliyemtaja miaka ya nyuma alikuwa anafanya biashara ya madini!? Kuna mtu ana jina kama hilo nilishawahi kufanya biashara nae ya madini huko nyuma kitambo miaka ya 90s.
Aisee kumbe yule bwana Alifariki!? Mungu amlaze mahala pema peponi.Ndio huyo huyo,msome Mshana Jr hapo kaelezea
Mzee mmoja mjanja mjanja sana, alikua best yangu sana ,nilikua namuita Dady ,na yy ananiita Son
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Yeah mkewe alikua mwarabu ,not ujanja ujanja wa utapeli ,yaani Mnyamwezi sio km wazee wengine ,alifariki tumemzika kinondoniAisee kumbe yule bwana Alifariki!? Mungu amlaze mahala pema peponi.
Alikuwa na Mke wa kiarabu. Nilishafanya nae biashara za mawe sana tu. Mimi hakuwahi kuniletea huo ujanja ujanja...tuliheshimiana.