Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
Tukio lilitokea saa 9 usiku, ni la kupangwa na hawa Waislamu feki, ila timing yao ilikuwa siyo walimpiga mapanga mlinzi mmoja wakidhani wameshamaliza kazi ili walichome kanisa kumbe walinzi walikuwa zaidi ya mmoja. ni jaribio lililoshindwa.
Nafanya mahojiano na mlinzi aliyejeruhiwa, ameshatoka Hospital na ameshonwa nyuzi kadhaa.
Inategemea na mali zilizopo ndani ya jengo husika.Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Nafikiri kichwa cha habari kingekuwa hiv '' TUKIO LA KUSHTUA YOMBO KKKT !!''
.
Shekh yahya keshasema hao walinzi wa kiislamu hawaonekani. Labda kwa wale waliokariri sura yasin vizuri.
.
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini