Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,570
- 16,017
GTs,
Naona mambo yanaenda kuwa mabaya. Yezebeli alitumia vyombo vyake vyote kuhakikisha anaangamiza waliotumwa na Mungu kumletea ujumbe, ila mwisho wa siku yeye alivyofariki mwili wake ulikuwa chakula cha mbwa na jamaa zake wote waliliwa kama mizoga. 1 Wafalme 21:23-24. Ukiwa na madaraka ni muhimu kuwa na masikio ya kusikia