Ndiyo ni torrent. Iko kwenye format ya ISOni torrent? umesoma nfo file?
So, is this going to help!haya, weka link ya download site....
kwa nini usidownload american 18 wheel of steel ambayo zinafanana kwa kila kila na hiyo ya scania na ni free? mimi nilikuwa nazo zote mbili but hiyo ya scania niliitoa maana ilikuwa inazingua...ishu hiyohiyo ya password...but 18 wheel of steel ni mwisho wa matatizo kwa trucking games...
unachosema ni sahihi mkuu na mimi nilikwamia hapohapo kwenye hizo links...mi nakushauri kama na wewe ni "mlevi" wa game za trucks kama mimi hii 18 wheels ipo poa sana na kwenye torrents zimejaa kibao zikiwa na crack zake...OK! Hatahivyo ni kwamba hawa jamaa wameweka links unapoweza kupata hiyo password ila unakuta nchi yako haina offer.
Links zenyewe ni: Link 1 : FileIce LLC
Link 2 : ShareCash - Password for TALTrDriS 2012.txt
Link 3 : Download file Password_for_TALTrDriS_2012.txt
Ninafilia kutumia ile software ya Hide My IP ili nione kama ukiingia kwenye hizo websites kutokea nje ya nchi hii labda wanaweza kuku-grant hiyo offer.
So, hiyo American 18 wheel of steel ni nzuri, basi ngoja nijipange upya manake hiyo ya Scania Truck Driving Simulator imenifilisi ndo maana sikutaka ku-give up mapema kabla ya ku-exploit means zote
unachosema ni sahihi mkuu na mimi nilikwamia hapohapo kwenye hizo links...mi nakushauri kama na wewe ni "mlevi" wa game za trucks kama mimi hii 18 wheels ipo poa sana na kwenye torrents zimejaa kibao zikiwa na crack zake...
hizi hapa chini ni baadhi ya screenshot ya game nilizowahi save kwenye hii 18 wheel of steel..
ni nzuri sana mkuu...ukitaka na mods zake za kuongezea baadhi ya magari kama ya scania na benz nawea kukupa au hata ukisearch online zipo kibao pia free...Nashukuru sana kakan'gu. Ndo nimemaliza kui-download. Nimei-extract na kupata image yake. Sinashaka itakuwa nzuri