Yeyote aliyesoma certificate kisha akajiunga chuo kikuu na kupata degree ajisalimishe nitamtaja tu

Kama anafanya kazi kwa ubora wake, sioni tatizo lolote. Isije ikawa tatizo ni kuwa mtoto wa Kamuzora tu.
 
Hivi kwa mfano prof afeli kwenye mipango ya elimu pamoja kua ye ni prof kuna chochote anaweza fanywa au ndo mwenye akili ata akiiba uyo sio mwizi ni fisadi mwizi ni yule asie na elimu na ni masikin wa kutupwa hii nchi inabidi iwekwe kweny kitabu cha kumbukumbu kwakweli
 
Sawa unaweza kuwa sahihi kwa upande mmoja lakini pia kosa kwa upande mwingine kilichobora kama ungegundua mapungufu/madhara yake kiutendaji kwenye jamii inayohusika/inayomzunguka unaweza kuta yeye ni BORA zaidi na ana IMPACT kubwa kuliko wewe hata kukuajiri wewe, nachojua mm watu wa aina hii wana self initiative and determination na wako very commited kuliko nyie mnao rizika vipanga wapo wengi tu na hutaweza kumkwamisha kamwe (certificate to degree huyo ni genius kuliko wewe)
Kuwa na certificate co tatizo inawezekana akawa na certificate kumbe alifaulu vizuri na wakati anasoma hyo certificate alisoma form v/vi private akafaulu na kuunga degree.xo isiwe shida/tatizo.
 
Hakuna cha busara tufuate utaratibu certificate to degree kwanini ukiruka diploma? Division 4 form six to degree hakuna ujinga huo
 
kwa uelewa wangu mdogo mtu akiwa na cheti cha form six halafu credit haziruhusu kwenda chuo kikuu then akasoma certificate anaruhusiwa kwenda degree bila kuwa na diploma (i mean anaruka diploma)...naomba nisahihishwe na wajuzi .....
 
Kuna wahitimu inasemekana wanapewa degree za chupi, hawa nao tunawabaini namna gani?
 
Nchi makini huangalia utendaji na kipaji ndio vyeti hufuata.. Badala ya kuwashutumu hawa watu waangaliwe utendaji wao.. Kama wanafanya kazi zao vizuri tena kwa viwango waendelezwe kielimu.
 
Cheti cha form six kimendikwa h ivi

ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION
 
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.

"NDUGU YANGU USILIKOSESHE TAIFA WATUMISHI WAZURI WENYE UWEZO NA WACHAPA KAZI! KUWA NA VYETI SIO KILA KITU!!!! NASISITIZA TUANGALIE UTENDAJI, UADILIFU WA MTU ZAIDI KULIKO KU-BASE ZAIDI KWENYE VYETI TU! TENA HAO NDIO WANAOTUFUNDISHA SISI WA FORM SIX HALAFU TUKAMALIZA CHUO. TUKIAJIRIWA, WALIMU WETU NDIO HAO HAO WANAOTUFUNDISHA KAZI, WANAJUA KAZI VIZURI SANA, TENA NDIO WAAMINIFU NA WACHAPA KAZI KULIKO SISI!!!
 
wala hakuna s
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
wala hakuna shida
kupata degree kuna njia nyingi
kuna direct entry.........hiyo ni kutokea form six moja kwa moja
kuna equivalent qualifications......yaan kama una qualification mfano kwenye uhasibu unaweza kutumia ATEC II kusomea degree
kuna mature entry qualification.........hapa inawahusu wale over 25 ambao wana skills katika certain field na experience ya kutosha then wakitaka kujiendeleze kielimu wanaruhusiwa kuapply degree moja kwa moja..........

nchi za wenzetu mfano ukienda na diploma yako ya nacte kutoka bongo wanakupa foundation programme then unasoma masters moja kwa moja
vile vile unaweza kusoma CPA Bila degree yaan we unacheza na mitihani ya bodi tu.....na ukimaliza CPA bila degree unaweza soma masters vilevile

so tusicrame kwamba kupata degree ni lazima upite form six.........
 
Mbona Jk kapema mpaka phd ila hamkulalamika?
Hao nao wametunukiwa kama zawadi so wapotezeeni tu.
 
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
Wewe unafanya kazi wapi!???? Inaonekana umeshindwa kazi, za kufanya!!!!!
 
Je, sio kwamba hapo katikati walihudhuria course ya diploma kwa distance au online learning? Sasa hapo tatizi ni wao au kule walikosoma?

Kuna majengo yameanguka yakiwa chini ya usimamizo wa hao jamaa wakati yakijengwa?
 
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
Samahan mkuu..kwa wale diploma holder unapoapply degree!!matokeo ya form four hana umuhimu?
 
Back
Top Bottom