Yeyote aliyesoma certificate kisha akajiunga chuo kikuu na kupata degree ajisalimishe nitamtaja tu

Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa Vyeti (CERTIFICATE) kisha kuhongo kwenye Vyuo Vikuu Na kukubaliwa kuchukua DEGREE Kwa kutumia Cheti cha CERTIFICATE. Kwa mfano kuna Mrasimu Ramani alimaliza Chuo cha Ardhi Tabora ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ana DEGREE ni Afisa Mipango Miji Chuo Kikuu cha Ardhi kinahusika.Pia kuna Fundi sanifu Upimaji alimaliza Chuo cha Ardhi Morogoro ngazi ya CERTIFICATE lakini Leo ni Afisa Ardhi mwenye DEGREE. Upumbavu huu sitauvumilia nitawataja Kwa Majina Na Sehemu wanakofanya Kazi.
Hata mimi wakati naenda chuo watu hao nilikutana nao, ikaniradhimu niingie kwenye prospector ya Chuo nikakuta anaweza kusoma Certificate ni yule aliefika form six akapata Principle moja au ana principle tano O level ndio atasoma Degree lakini awe amepata upper second kwenye Certificate yake ndio ataweza kusoma Degree basi nikalegea baada ya kuona sifa hizo wanazo wote lakini kama wapo wasio kuwa na sifa hizo aisee wataje tu watoke kazini
 
Back
Top Bottom