Yeye RC, mimi Luthelan

Yeye RC, mimi Luthelan

Anasema hayupo tayari kuhamia Lutheran.
Anadai abaki kwenye dhehebu lake na mimi nibaki kwenye dhehebu langu hata tutakapoingia kwenye ndoa.
Wakuu hali kama hii si kukaribisha migogoro ya hapo baadae?
Ushauri
Madhebu yote hayo ni agizo la binadamu sio Allah,soma historia utaelewa be Muslim kila kitu kitakuwa OK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna dhehebu misingi ya imani ni ileile nguzo5 za uislamu adhana ni ileile.
Ukiona MTU anajinasibisha na dhehebu huyo c muislamu,Mtume wa Allah mpaka anafariki aliacha Quran,hadithi(simulizi za visa vya ukweli) na sunnah zake tu.
Kwani waislam hawana madhehebu?

Maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema hayupo tayari kuhamia Lutheran.
Anadai abaki kwenye dhehebu lake na mimi nibaki kwenye dhehebu langu hata tutakapoingia kwenye ndoa.
Wakuu hali kama hii si kukaribisha migogoro ya hapo baadae?
Ushauri
Tena sio migogoro tu bali hata vita vya kidini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna dhehebu misingi ya imani ni ileile nguzo5 za uislamu adhana ni ileile.
Ukiona MTU anajinasibisha na dhehebu huyo c muislamu,Mtume wa Allah mpaka anafariki aliacha Quran,hadithi(simulizi za visa vya ukweli) na sunnah zake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio sunni, Shia, bohora, qadiriya, ibadhi, wote ni sawa kwa kua misingi ya imani wote ni ileile nguzo 5?
Kwa hio mtu akijinasibisha na moja kati ya hayo madhehebu anakua sio muislam yaani yeye ni sawa na kafiri au mshirikina?

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom