Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
kuna majitu mapunguwani sana..yaani walitaka afanyeje saa?mbona huyu wenu watu wanakufa kwnye mafuriko na ajali kila kukicha lakini haonekani kutwa yuko busy na mambo ya wama na kupiga hela
kuna majitu mapunguwani sana..yaani walitaka afanyeje saa?mbona huyu wenu watu wanakufa kwnye mafuriko na ajali kila kukicha lakini haonekani kutwa yuko busy na mambo ya wama na kupiga hela
Mkuu, labda mleta mada angetueleza alitaka first lady afanye nini..? Maana kuishia kumlaumu bila kutuambia ulitakaje haimsaidii! Na je first lady ana influence gani ktk hilo jambo la watu waliouawa kanisani..?!
Aonyeshe kusikitishwa na kitendo hicho (sympathy), kwanza kwa kukatisha ziara yake na kurudi US. Pili kutoa tamko la kuonyesha kukerwa na mauaji hayo, kama alivyooyeshwa kukerwa na utekanji nyara uliofanywa na Boko Haramu dhidi ya watoto wa Nigeria. Kwenye suala la Boko haramu alijitolea kupigwa picha akiwa ameshikilia 'placard' yenye maneno 'Bring back our girls' kama sijakosea.
hapana akifanya hivyo atakuwa anahimiza huo ubaguzi...Kwa sababu yeye pia ni mweusi
Huyu mwanamke ametoka mbali sana na Barack
Wale wasichana wa Nageria ni wazungu....!?
Kwa hiyo kwa kuwa Wazungu ndiyo wanatekeleza u'racism' kwa kuua watu wenye rangi ya kahawia basi Bibi Obama asisikitishwe na mauaji hayo...!?. Ebu mkuu kama una nafasi nifafanulie kwa kina kwa nini Bibi Obama kuonyesha kusikitishwa na kulaani mauaji ya African- Americans kutachochea Ubaguzi. Yaani hapa mimi sijakuelewa kabisa....nisaidie nikuelewe.Nigeria ilikuwa mambo ya Racism?
Kwa hiyo kwa kuwa Wazungu ndiyo wanatekeleza u'racism' kwa kuua watu wenye rangi ya kahawia basi Bibi Obama asisikitishwe na mauaji hayo...!?. Ebu mkuu kama una nafasi nifafanulie kwa kina kwa nini Bibi Obama kuonyesha kusikitishwa na kulaani mauaji ya African- Americans kutachochea Ubaguzi. Yaani hapa mimi sijakuelewa kabisa....nisaidie nikuelewe.
Na jinsi Nchi ya marekani ilivyokubwa sijui huyu mama akae wapi na mizinga au makombora au AK47 awe anapambana na hawa wauwaji! Halafu pia huyu mama anaulinzi wa hali ya juu hawezi kuzurula kama hawa magaidi.Mkuu, labda mleta mada angetueleza alitaka first lady afanye nini..? Maana kuishia kumlaumu bila kutuambia ulitakaje haimsaidii! Na je first lady ana influence gani ktk hilo jambo la watu waliouawa kanisani..?!