bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,357
- 9,547
Ni Cheo
Ni Cheo
..Yesu alikua 1oo% GOD na 1oo% Human akiwa duniani mkuu sasa inategemea na circumstances ndo tunaweza kujua alikua katika Hali gani
Yohana 17:3-41 yohana 5;20
Nasi twajua kwamba mwana wa Mungu amekwisha kuja,naye ametupa akiri kuwa tumjue yeye akiye wa kweli,nasi tumo ndani yake yeye akiye wa kweli,yaani,ndani ya Mwana wake Yesu kristo,HUYU NDIYE MUNGU WA KWELI,na uzima wa milele.
unaogopa imani yako kuchambuliwa sababu unajua moyoni kuwa imani hiyo inapumulia kwenye machine,vinginevyo sioni sababu kwa nini upate headache kwa mjadala kama huuKwanza wewe uliyeanzisha thread hii nia yako ya ndani ni nini ? Ya kujaribu kuchambua vitu usivyovijua
BORA HUYU KULIKO NINYI,MNA MAFUNDISHO YA **AJABU**/IMANI AMBAYO MNAYAFICHA KUPITIA LUGHA YA *KIARABU** YAAN HATA WATOTO WANAOSOMA**MADRASA**WANGEKUWA WANASOMESHWA *QURAN*KWA LUGHA ZAO ASINGEKUWEM HATA MMOJ,MFANO,pole sana chaka uliloingia kutoka ni vigumu sana
Uwe muoga hata kwa bahati mbaya kaka...Paulo anaweza kua sawa tu,kwa MUNGU yote yawezekana kama alivyoweza kumtengeneza popo.wengine wanamuita ndege na wengine humwita mnyama.yamkini YESU alikua BINADAMU na MUNGU pia
Maneno ya pogba hayoUmungu (divine)ni tafsiri ya andiko takatifu Yohana 1:1 - "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu".
Uoga wa nini?jifunze kujifikirisha,na siyo dhambiUwe muoga hata kwa bahati mbaya kaka...
Toa andiko la kutilia nguvu hoja yako.Sisi huita nakupa bidhaa na risiti yake.Paulo anaweza kua sawa tu,kwa MUNGU yote yawezekana kama alivyoweza kumtengeneza popo.wengine wanamuita ndege na wengine humwita mnyama.yamkini YESU alikua BINADAMU na MUNGU pia