Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Ni mtume Wa waislam sio Wa mungu
Kuhurumina gani mashetni hawa
Asilimia 99 ya wasomalia ni waislamu, wanauana wao kwa wao
Eneo ambalo boko haramu wanakaa lina waislamu wengi wanaouawa
Siria ni nchi ya kiislamu wanauana wao kwa wao
Libya nchi ya waislamu wanauana wao kwa wao
Misri nchi ya waislamu wanachinjana wenyewe
Iraq nchi yao wanachinana kila uchwao
Nchi yoyote, jamii yoyote inayotawaliwa na kanuni za quaran ina machafuko na mauaji tele. Quarani ni kitabu cha kigaidi.
 
Mahammad mwenyewe huyu mtume wa ugaidi na ndio alichofanikiwa kuwarithishisha wafuasi wake. Mkimbilieni Yesu mkombolewe. Kwa Yesu amani tele.
 
WEWE PIGA SPAGHETI HII NAKUWEKEA

WANAFUNZI WA YESU

Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya;

Wa kwanza Simon aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebadayo, na Yohana nduguye; Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo; na Thadayo; Simon Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti. (Marko 10:2-4).

Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44).

Basi tuone mti uliopandwa na Bwana Yesu Kristo, matunda yake ni ya ladha gani? Madaraja yaliyofundishwa na Bwana Yesu tuone wanafunzi wake walikuwa wa aina gani?

Yesu alipoleta imani, basi tuone kiwango cha imani ya waaminio wake.

Sina kawaida ya kuwafundisha watu kwa maneno yangu bali nawafundisha kulingana na maandiko yao matakatifu. Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu.

1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? (Mathayo15:16).

2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).

3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).

4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu. (Mathayo 26:15).

5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).

6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).

7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu” (Mathayo 17:20).

8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia. (Mathayo 26:50).

9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).

Hapa juu umesoma hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu sawa na Biblia. Lakini sisi Waislamu hatuamini kwamba Nabii yeyote anaweza kushindwa kiasi hiki kwamba asiweze kupata matunda ya juhudi yake na athari nzuri isitokee kwa mahubiri na mafundisho yake.

Hata katika Qur'an Tukufu wanafunzi wa Bwana Yesu wametajwa kuwa mfano mzuri juu ya ulimi wa Bwana Yesu mwenyewe.

Qur'an: “Enyi mlioamini! Muwe wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Isa bin Mariam kuwaambia wanafunzi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.” (Qur'an 61:15).
Ukristo ulikuwepo miaka 600 kabla ya kuja hii imani yenu ya kiqureish ya uislam.Narudia ya kiqureish.Haina uhusiano wowote na wayahudi.Unapoongelea Yesu,utatu,,wanafunzi wa Yesu nk unatoka kabila moja kwenda lingine.
....Nia yenu kwenye mjadala huu tayari nimeiona na Ndugu yangu wa ukweli mgeni aliiona Mapema ndo maana anawajibu kulingana na akili na mtazamo wenu.
.....Kama!# injili na torati zimechakachuliwa nyie kwenye mjadala huu mnaitumia hio mistari iliochakachuliwa kwa mantiki gani???

,,,,,,,,,,,,Kwa nini mnaelezea dini msioijua na mnayoichukia kwa wanaoijua na kuipenda???

,,,,,, ..Hivi huwa mnapata mda wa kusoma na kujadili hio dini yenu ya nabii (muhamad) alietabiriwa unabii kwa mganga wa kienyeji..????

Hio dini yenu tumeisoma na tunaendelea kuisoma,,,nakupa zoezi dogo utafiti kitu hiki
"""""Masheikh wenu wanapokuwa wanakaribia kumaliza mafunzo ya kuwaongoza,,hulishwa yamini kutunza siri za uislam,,,siri hizo ni zipi???? Je!! Ninyi washika vibendera zinawahusu????Pia hutunzwa kwa ajili ya nani?? Kwa lengo lipi???"""""""""""

Una mengi ya kuyajua kuhusu uislam kama akili zako sio za kuamshwa kwa kunywa maji ya Zam zam yaliyochanganywa na Zafarani....
 
acha zako wewe...hivi Mungu alisahau nini hadi amtume Muhammad?¿ naona mafundisho yake ni dhaifu hadi basi..au ni huko kukamuana ngama? au kutufundisha kumpopoa shetani kwa mawe...?
Unajifanya unajua kumbe hujui, ndo maana ukisha maliza kukujoa hunawi mdudu, mchafu mkubwa wee
 
Tofauti eeh?! Kwanza niombe radhi mimi sio mtukanaji Bali ninanukuu ilimu Islam, sasa wee ilimu hiyo unaita matusi? Kwa hiyo walokole kutoa mapepo unaona uchungu eeh.....
Sasa hiyo elimu huijui, ili uweze kujua elimu Ya kiislamu, nahwu, balagha, fiqhi, tawheed, sira lazma ujue, wewe unajua nini kati Ya elimu hizo nilizozitaja
 
Mara nyingi mashetani Na mapepo yake makazi makubwa ni mapangoni
Hujafahamu aya ndugu, ili uweze kufahamu Qur-an, Kuna baadhi Ya fani lazima uwe nayo kama vile balagha, Lakin wewe umenifahamu iyo aya kienyeji enyeji tu, ndugu wakristo mmechanganyikiwa
 
Kuhurumina gani mashetni hawa
Asilimia 99 ya wasomalia ni waislamu, wanauana wao kwa wao
Eneo ambalo boko haramu wanakaa lina waislamu wengi wanaouawa
Siria ni nchi ya kiislamu wanauana wao kwa wao
Libya nchi ya waislamu wanauana wao kwa wao
Misri nchi ya waislamu wanachinjana wenyewe
Iraq nchi yao wanachinana kila uchwao
Nchi yoyote, jamii yoyote inayotawaliwa na kanuni za quaran ina machafuko na mauaji tele. Quarani ni kitabu cha kigaidi.
Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu ambao hawakuwa na upeo wa kimawazo
 
Ukristo ulikuwepo miaka 600 kabla ya kuja hii imani yenu ya kiqureish ya uislam.Narudia ya kiqureish.Haina uhusiano wowote na wayahudi.Unapoongelea Yesu,utatu,,wanafunzi wa Yesu nk unatoka kabila moja kwenda lingine.
....Nia yenu kwenye mjadala huu tayari nimeiona na Ndugu yangu wa ukweli mgeni aliiona Mapema ndo maana anawajibu kulingana na akili na mtazamo wenu.
.....Kama!# injili na torati zimechakachuliwa nyie kwenye mjadala huu mnaitumia hio mistari iliochakachuliwa kwa mantiki gani???

,,,,,,,,,,,,Kwa nini mnaelezea dini msioijua na mnayoichukia kwa wanaoijua na kuipenda???

,,,,,, ..Hivi huwa mnapata mda wa kusoma na kujadili hio dini yenu ya nabii (muhamad) alietabiriwa unabii kwa mganga wa kienyeji..????

Hio dini yenu tumeisoma na tunaendelea kuisoma,,,nakupa zoezi dogo utafiti kitu hiki
"""""Masheikh wenu wanapokuwa wanakaribia kumaliza mafunzo ya kuwaongoza,,hulishwa yamini kutunza siri za uislam,,,siri hizo ni zipi???? Je!! Ninyi washika vibendera zinawahusu????Pia hutunzwa kwa ajili ya nani?? Kwa lengo lipi???"""""""""""

Una mengi ya kuyajua kuhusu uislam kama akili zako sio za kuamshwa kwa kunywa maji ya Zam zam yaliyochanganywa na Zafarani....
Wewe hujui ata unaongea nini, hao kwa kina Mussa, Daudi, Ibrahim, Adam, walikuja na dini gani
 
Wewe hujui ata unaongea nini, hao kwa kina Mussa, Daudi, Ibrahim, Adam, walikuja na dini gani
Kinachokuchanganya wewe kitakuwa kilianza kumchanganya subhana na mtume wake Muhammad kwamba wawe na kitabu chao au wacopy na kupaste injili,,tourat na Zaburi...Maana wao hawakuvielewa kama wewe unavyosumbuka..Laiti kwamba wasingevikuta wangekaa chini kama kamati wafikirie kitu sahihi cha kuuandikia umati wake kama wewe ambao mda wote mnahangaika na kitabu kile kile na hamna point mnayoeleza zaidi ya kuonyesha udhaifu wenu kwa maneno yalioandikwa kwa kiswahili.
 
Hebu niambie nani waliotunga biblia
 
Kuhurumina gani mashetni hawa
Asilimia 99 ya wasomalia ni waislamu, wanauana wao kwa wao
Eneo ambalo boko haramu wanakaa lina waislamu wengi wanaouawa
Siria ni nchi ya kiislamu wanauana wao kwa wao
Libya nchi ya waislamu wanauana wao kwa wao
Misri nchi ya waislamu wanachinjana wenyewe
Iraq nchi yao wanachinana kila uchwao
Nchi yoyote, jamii yoyote inayotawaliwa na kanuni za quaran ina machafuko na mauaji tele. Quarani ni kitabu cha kigaidi.
Kwa hiyo unataka kusema Gadafi aliuawa na waislam wenzie? Na pale Trump analosema marekani ilifanya makosa kumuua Gadafi wewe unaelewa nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom