Hahahaa yani ni duble duble kabisa au.............ngoja waje kiongozi la sivyo itabidi tuwabadilishie maudhui mkuu.
Mmmmmh yani ni kweli kabisa kabisa mkuu hujamuona hata Malaika hapo jmn...!.
picha ya juu kabisa mbona kama nyani?
Hii ni kashfa kwa waumini.
Nashauri hii picha iondolewe tafadhari.
Haya ngoja nikunong'oneze mwaya................chini kabisa kulia hujamuona St.Marry mwayego?.
Nioneshe nyani yupo kwa wapi hapo mkuu...?.