Yesu Kristo atarudi lini ?

Yesu Kristo atarudi lini ?

Ujio wa Masiha Kristo, ni sawa na kifo: hakuna ajuaye siku wala saa, bali tumepewa ishara ya mambo yanayotakiwa kutokea kabla ya ujio wake ili waliojaliwa hekima yake wapate kujua.
 
Yeye mwenyewe naye hajui lini atarudi tena?!

Imeandikwa...

Mathayo 24
36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.

37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
 
Vipi kuhusu mwaka au miaka ?
 
Vipi kuhusu mwaka au miaka ?

Sasa mkuu, saa na siku si vipo ndani ya mwaka, maana hakuna mwaka kabla ya kuwa na saa wala siku...

Kilichotajwa na Biblia ni majira na ishara, kwamba mkiona hivi au vile mjue ule mwisho u karibu...
 
1000338494.jpg
 
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24.

Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ?

Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
Kesho🤔
 
Back
Top Bottom