Yesu feki aliyezua gumzo Afrika kusini na Kenya afariki dunia

Someni story nzima jamaa mwenyewe kasema hajadai mahali popote kuwa yeye ni Yesu. Tatizo waafrika kukurupuka tu!!! Jamaa alikuwa anaigiza maisha ya Yesu. Jinsi alivyofanana na ile picha ya maisha ya Yesu wakadhani ni yeye. Ukweki ni kuwa yeye ndiye aliyeigiza ile filamu ya maisha ya Yesu. Hebu tujiulize swali "Hivi Yesu anafanan na huyo mu kweli?" Hakuna aliyemwona Yesu akajua alivyo zaidi ya watu kudhani yuko kama yule muigizaji!!!! Soma hii story https://www.foxnews.com/faith-value...sus-imposter-after-visit-to-africa-goes-viral
Huyo jamaa kafanana na aliyeigiza filamu ya maisha ya yesu
Ila siyo aliyeigiza ile filamu
Muigizaji nadhani sasahivi ni mzee hawezi kuwa na muonekano uleule
 
Ngoja tusubiri siku tatu zifike tujionee muujiza anavyofufuka
 
Mzaha mzaha hutumbua jipu la usaha...

Na afufuke sasa...
 
Huyo jamaa kafanana na aliyeigiza filamu ya maisha ya yesu
Ila siyo aliyeigiza ile filamu
Muigizaji nadhani sasahivi ni mzee hawezi kuwa na muonekano uleule

Kwani yesu kazeeka? 😜 😜
 
"Aliyevalia kama yesu wa ukweli"

Huyo yesu wa ukweli mlimuona? Au bado mnapagawishwa na yule mcheza movie wa passion
kwanza aliyewaaminisha yesu ni white caucasian ni nani?yesu mweusi na kipilipili cha kisomali
 
Back
Top Bottom