Yesu feki aliyezua gumzo Afrika kusini na Kenya afariki dunia

Huyo jamaa kafanana na aliyeigiza filamu ya maisha ya yesu
Ila siyo aliyeigiza ile filamu
Muigizaji nadhani sasahivi ni mzee hawezi kuwa na muonekano uleule
OK. Ila nimegoogle wako wengi kumbe!!!
 
Back
Top Bottom