YESU amenipa kazi UN

Hallelujah be blessed...
Usije kumuacha Huyo Yesu tafadhali....
Ni njia kweli na uzima...
 
Yesu kakupa kaz umtumikie na umwakilishw vyema kazn kwako...pia watu wamuone Yesu kupitia ww ukiwa kazn...
Be blessed..
 
Above all graces Jesus Cherish faith the most.. Hongera kwa imani yako kwa bwana Yesu
 
Amen akatende kwangu hata sasa niweze pata kazi Asante sana Yesu naami yote yanawezekana
 
Asikuambie mtu Yesu anaweza na yesu ndio kila kitu, mpe nafasi pia akusimamie
 
Aisee..inatia moyo sana,yote kwa yote usimwache YESU
 
YESU ni mzuri daima
 
Angalia usimwache Yesu maana huko kumenajisiwa sana na hawa jamaa wa west afrika.
 
Amen amen nakuambia ukisahau kutoa fungu la kumi kutoka kwenye mshahara wako siku kama ya leo majira kama haya mwaka kesho hakika utarudi Misiri![emoji30]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…