FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Ananunua kitambulisho cha machinga msubiri anakuja
Unaniita x tangu lini?My x husband..long time no see you
Happy valentine
MxxiueeeUnaniita x tangu lini?
Utakuja kuolewa ndoa ya mkeka nimekupa hizo baraka
Njoo whatsapp nikupe zawadi yakoMxxiueee
Huna loloteNjoo whatsapp nikupe zawadi yako
Ushanichuna vya kutosha.Huna lolote
Ndo mana nmekukacha kwa ubahili wakoUshanichuna vya kutosha.
Si ushajenga kabisa?
Mwenye nacho ataongezewa. Mwenye kidogo hata hicho ataporwa tu.Aisee kumbe kuna member wanamiliki mpaka mademu wa4 kwa wakati mmoja na wote wanajuana...mm nikiwafuata PM wanaishia kupokea salamu tu baada ya hapo umuoni tena..
Kweli uchawi upo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hata yeye kakomenti kwa utani hawezi kuwa na akili ndogo namna hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie mke wa Ngosha.....
Jesus!!!Wewe hapo ndio kabazazi unayechipukia nilianza kupata wasiwasi tangu ulipoanza kuambatana na huyu bazazi mzee Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa hakyamama leo umefanikiwa kunichekesha... Khaaa!
Hahahaa hakyamama leo umefanikiwa kunichekesha... Khaaa!
Jamani... basi ntakuwa nakudanganyaMiaka yote karibia mitatu ya kuwa humu JF ndio nimefanikiwa kukuchekesha leo?
Nimeumia 😔😔
Jamani... basi ntakuwa nakudanganya