Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,067
- 124,585
Mxxiueee
[emoji144][emoji144][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Tunafuatanaga pmWale ambao hatuna hao kina Valentine sijui kina nani tuna comment wapi??Comment ziwe fupi fupi jamani
My x husband[emoji7]..long time no see youhuyu anaonekana ni mgeni humu.. ila tumuombee aolewe mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee kumbe kuna member wanamiliki mpaka mademu wa4 kwa wakati mmoja na wote wanajuana...mm nikiwafuata PM wanaishia kupokea salamu tu baada ya hapo umuoni tena..
Kweli uchawi upo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuniaminisha jf kuna mwanamke yupo single??Wale ambao hatuna hao kina Valentine sijui kina nani tuna comment wapi??Comment ziwe fupi fupi jamani
Muwe na huruma na sisi tunapenda kubebishwa ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] ni utani tu chief usichukulie serious kila kitu unachokiona mtandaoniAisee kumbe kuna member wanamiliki mpaka mademu wa4 kwa wakati mmoja na wote wanajuana...mm nikiwafuata PM wanaishia kupokea salamu tu baada ya hapo umuoni tena..
Kweli uchawi upo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimevunjika moyo kabisa..nimepoteza matumaini ya kupata mrembo jf.[emoji23][emoji23][emoji23] ni utani tu chief usichukulie serious kila kitu unachokiona mtandaoni
[emoji23][emoji23][emoji23] ni utani tu chief usichukulie serious kila kitu unachokiona mtandaoni
Usiwe mgumu mgumu sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa niweje mkuu maana sipatagi ata chance ya kuombwa elaUsiwe mgumu mgumu sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Haaa,wacha wee ebu nitumie kwanza ya valentine tuanze basi
Utapata tu mkuu. Hebu niambie umempenda mrembo gani nikupe chap kwa haraka maana wote nawamiliki mimi.Mkuu nimevunjika moyo kabisa..nimepoteza matumaini ya kupata mrembo jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kumpora mmoja..embu nichagulie kwenye hyo 4 nitoke na namba ipiNadhani hata yeye kakomenti kwa utani hawezi kuwa na akili ndogo namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app