Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,545
- 81,357
Yani dada bado nna beef na wewe. Umefanya nikute vibuti na misuto PM kwangu [emoji58][emoji52]Nadhani hata yeye kakomenti kwa utani hawezi kuwa na akili ndogo namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu gani unaongelea hapa babe?Usiwe mgumu mgumu sasa[emoji3][emoji3][emoji3]