Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Usijali wifi mdogo wangu ujana unamsumbua mvumilie tu kidogo ataachaWifi nimechokaahuu mdo ule uvumilivu ulikuwa unaniambia umenishinda
tupo wengi, wengine hawajulikani bado.
Huyu hana foleni kweli dada?Mdogo wangu hata usihangaike mwaya, huyu ledada tumeshapeleka kishika uchumba, unaonaje nikuachie huyu Da'Vinci
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana wote nawapenda sitaki kupoteza hata mmojaChalii anguu nigawie mmoja basi...
![]()
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Toka zako wengine hao wake za watu. Unamjua Saint Ivuga?Dada mimi nawapenda wote nitaufanyia moyo wangu partition kila mtu apate sehemu yake![]()
Dada siamini kama wewe leo unanisaliti hapa. Yani unataka kumuuza babe wangu kwa bazazi Da'Vinci ?Mdogo wangu hata usihangaike mwaya, huyu ledada tumeshapeleka kishika uchumba, unaonaje nikuachie huyu Da'Vinci
Sent using Jamii Forums mobile app


Nilikuwa najiandaa na maua hapa kumbe mwenzangu unajitangaza upo singoEti nini??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk


Daaah... mjali chalii ako ujue!! You own a single crumper.Hapana wote nawapenda sitaki kupoteza hata mmoja
Bazazi humu ni gudume pekee...
Siamini kama unanisnitch kabisa dada. Kweli adui yako ndugu yako, bora hata mtoka mbali


Mmmhh makubwaNilikuwa najiandaa na maua hapa kumbe mwenzangu unajitangaza upo singo
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini kama unanisnitch kabisa dada. Kweli adui yako ndugu yako, bora hata mtoka mbali![]()


kwenye familia yetu hatuna maplayer we sijui umetoka wapi inabidi utafute ukoo wakoNilikuwa najiandaa na maua hapa kumbe mwenzangu unajitangaza upo singo
Sent using Jamii Forums mobile app


























Wewe hapo ndio kabazazi unayechipukia nilianza kupata wasiwasi tangu ulipoanza kuambatana na huyu bazazi mzee Asprin
Dada si ndiyo ametoka kukutenda huyo?





anakuacha nyumbani unaandaa chai anapita akijitangaza yupo single?


Ndio shida ya kutoka na vijana akiona mabinti anakukata mchana kweupeMmmhh makubwa
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk


Nani huyo ili nimwondoe haraka kwenye list wabaki watatu?

