Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
charge sheet inasemaje?Kada wa CHADEMA , Yericko Nyerere leo alifikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya kuchapisha maneno yenye uchochezi kupitia mtandao wa Facebook.
Mdhamini amesaini hati ya dhamana ya maneno ya Sh10 milioni, amekamilisha na kuachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikiahirishwa hadi Julai 6, 2017 kwa ajili ya kutajwa ili kuangalia upelelezi utakuwa umekamilika ama la.
Yaliyopita si ndweleYericko simpendi kabisa alisababisha Lowasa akatwe na ccm..
Leo ukiomba ushahidi wa tuhuma alizokuwa anamporomoshea Lowasa hana.
Atabaki anatoa macho tu
Pendekezo - Yericko gombea ubunge kigamboni 2020 kupitia UKAWA , dola inakupaisha sana !Kada wa CHADEMA , Yericko Nyerere leo alifikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya kuchapisha maneno yenye uchochezi kupitia mtandao wa Facebook.
Mdhamini amesaini hati ya dhamana ya maneno ya Sh10 milioni, amekamilisha na kuachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikiahirishwa hadi Julai 6, 2017 kwa ajili ya kutajwa ili kuangalia upelelezi utakuwa umekamilika ama la.
Kesi za uchochezi sio public hearing?? Maana Mara ya pili Sasa lakini sijasikia charge ni nini
Unataka kusema kuwa Kamati Kuu ya CCM inamtegemea Yericko Nyerere kufanya maamuzi yake?Yericko simpendi kabisa alisababisha Lowasa akatwe na ccm..
Leo ukiomba ushahidi wa tuhuma alizokuwa anamporomoshea Lowasa hana.
Atabaki anatoa macho tu
Kaliandika eti mzee lowasa ni jitu mumiani. Hakana adabu kwa wazee....Leo ukiomba ushahidi wa tuhuma alizokuwa anamporomoshea Lowasa hana.
Atabaki anatoa macho tu