Yeriko Nyerere afikishwa Mahakamani Leo kujibu kesi ya uchochezi mtandaoni.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Kada wa CHADEMA , Yericko Nyerere leo alifikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya kuchapisha maneno yenye uchochezi kupitia mtandao wa Facebook.

Mdhamini amesaini hati ya dhamana ya maneno ya Sh10 milioni, amekamilisha na kuachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikiahirishwa hadi Julai 6, 2017 kwa ajili ya kutajwa ili kuangalia upelelezi utakuwa umekamilika ama la.
e02c6a206ffcdbba269a783220323dc6.jpg
cfedcc8be45d186a806adef6e1da75d4.jpg
 
charge sheet inasemaje?
 
Kwenye "kesi" ya mihadarati ya Wema wakili alivyowekwa Tundu Lisu mbuzi wote wakakimbilia vichakani.

Itakua moto wa Kibatala hawajauoga vizuri bado.
 
Kada wa CHADEMA , Yericko Nyerere leo alifikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya kuchapisha maneno yenye uchochezi kupitia mtandao wa Facebook.

Mdhamini amesaini hati ya dhamana ya maneno ya Sh10 milioni, amekamilisha na kuachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikiahirishwa hadi Julai 6, 2017 kwa ajili ya kutajwa ili kuangalia upelelezi utakuwa umekamilika ama la.
e02c6a206ffcdbba269a783220323dc6.jpg
cfedcc8be45d186a806adef6e1da75d4.jpg
Pendekezo - Yericko gombea ubunge kigamboni 2020 kupitia UKAWA , dola inakupaisha sana !
 
Yericko simpendi kabisa alisababisha Lowasa akatwe na ccm..

Leo ukiomba ushahidi wa tuhuma alizokuwa anamporomoshea Lowasa hana.
Atabaki anatoa macho tu
Unataka kusema kuwa Kamati Kuu ya CCM inamtegemea Yericko Nyerere kufanya maamuzi yake?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huya ana laana ya kudhulumu kanisa ndio maana anapata kesi za ajabu ajabu. Yeye anajua alilofanya kwenye parokia fulani hapa Dar. Aje amalize kazi aliyolipwa.
 
Huyu ana laana ya kudhulumu kanisa ndio maana anapata kesi za ajabu ajabu. Yeye anajua alilofanya kwenye parokia fulani hapa Dar. Aje amalize kazi aliyolipwa.
 
Anapata wapi udhamini wa milioni 10?
Halafu akija huku utasikia anajiita mlalahoi!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom