Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Kada wa CHADEMA , Yericko Nyerere leo alifikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya kuchapisha maneno yenye uchochezi kupitia mtandao wa Facebook.
Mdhamini amesaini hati ya dhamana ya maneno ya Sh10 milioni, amekamilisha na kuachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikiahirishwa hadi Julai 6, 2017 kwa ajili ya kutajwa ili kuangalia upelelezi utakuwa umekamilika ama la.