Yeriko kwa hili umejishusha sana broo jitafakari

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Sipendi udini, siungi mkono udini,
Kwa hili yeriko la kuukashifu uislam na kudai ni dini tu ilokuja na jahazi na inaleta shida nchini ujitafakari sana aisee

Ujifunze kuwa na emotional control hata km kitu hukipendi usipende kuonyesha hisia zako za chuki dhidi ya uislam hata kama huupendi uislam

Kumbuka Tanzania ni nchi ya watu wote bila kubagua itikadi za kidini au ukabilaView attachment 818607
IMG_20180725_183908.jpg
 
Ukiachilia mbali dini zetu za asili nitajie dini ambayo haikuja na jahazi
Ila ni vema ungeweka bandiko zima ya alichokiandika ili tupate pa kuanzia.
Bandiko la yeriko nimeliscreenshot hapo kwan hukuliona??
 
Sipendi udini, siungi mkono udini,
Kwa hili yeriko la kuukashifu uislam na kudai ni dini tu ilokuja na jahazi na inaleta shida nchini ujitafakari sana aisee

Ujifunze kuwa na emotional control hata km kitu hukipendi usipende kuonyesha hisia zako za chuki dhidi ya uislam hata kama huupendi uislam

Kumbuka Tanzania ni nchi ya watu wote bila kubagua itikadi za kidini au ukabilaView attachment 818607View attachment 818608
Dini zote uislamu na ukristu zimeletwa na wakoloni kwa majahazi sio kwa ndege... Dini zetu afrika ni zile za kulogana na ulozi... Sasa unaweweseka kwa mambo usiyoyajua kisa tu ya ujinga wako...
 
Mleta mada anataka kuambiwa kuwa dini zetu zilikuja kwa ndege. Uislamu na ukristo vyote vilikuja kwa mashua na zilikuja ili kutufanya tukubali kutawaliwa kirahisi, kuhusu ukweli au uongo wa dini hizo, tukuachie wewe mleta mada...!!
 
sio tu zilikuja kwa majahazi bali pia zilikuja kama vitangulizi vya ukoloni, ziliwasaidia kuwatawala mababu zetu kirahisi, wiki nzima unapigwa mijeredi kwenye shamba la mkoloni kisha jumapili au ijumaa unaenda kanisani/ msikitini kupewa matumaini juu ya "uzima wa milele" kwenye "paradiso/ ahera" kwa wale watiifu na wanyenyekevu baada ya kufa. so they had something worth longing for in the afterlife
 
Sipendi udini, siungi mkono udini,
Kwa hili yeriko la kuukashifu uislam na kudai ni dini tu ilokuja na jahazi na inaleta shida nchini ujitafakari sana aisee

Ujifunze kuwa na emotional control hata km kitu hukipendi usipende kuonyesha hisia zako za chuki dhidi ya uislam hata kama huupendi uislam

Kumbuka Tanzania ni nchi ya watu wote bila kubagua itikadi za kidini au ukabilaView attachment 818607View attachment 818608
Dini za majahazi inamaanisha Uisilamu peke Yake? Nakuona Kama mtu mdini! Acha kujibaraguza, elewa lugha, amesema Dini za Majahazi, Kuna wingi hapo, sii Dini Moja tu! Ukristo haukuja na Ndege, ulikuja na jahazi pia!
 
Sipendi udini, siungi mkono udini,
Kwa hili yeriko la kuukashifu uislam na kudai ni dini tu ilokuja na jahazi na inaleta shida nchini ujitafakari sana aisee

Ujifunze kuwa na emotional control hata km kitu hukipendi usipende kuonyesha hisia zako za chuki dhidi ya uislam hata kama huupendi uislam

Kumbuka Tanzania ni nchi ya watu wote bila kubagua itikadi za kidini au ukabilaView attachment 818607View attachment 818608
Mkuu wewe ndo mdini Na ndio maana hata hujaelewa nini Yericko ameandika apo anza Sasa badili fikra zako huko uliko si salama
 
mkuu ni vema ungepunguza majivu kidogo katika kigae chako hapo,, majivu mengi hupelekea moto kutokolea vizuri hivo kuwa na wasiwasi mkubwa wa kuipua ugali mbichi
 
Dini zote zililetwa na majahazi,labda angetumia neno meli lingejaa hadhi labda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom