Yericko Nyerere ni nani?

Ni memba mwenzetu wa Jamii Forums kama walivyo kina Simiyu yetu, Ritz, Pasco n.k
ni mtoa mada mzuri ambaye anatetea sana sera na misimamo ya Chadema na Upinzani kwa
ujumla, Ni mpinzani na mwanaharakati mkubwa ambaye namfananisha na MKWAWA.
Acha kumfananisha mkwawa na vitu vya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh. Teheteheee
ni jasusi na nimtaamlamu wa maswala ya kompyuta!! alianza kuongea lugha za kigeni kama Russian language angali akiwa na umri wa miaka 10 tu ...

alianza kutumia internet miaka ya 80 akiwa russia ..

pia alisema amesomea maswala ya siasa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
anaishi mbutu kigamboni
 
Ndugu zangu,

Kwa sababu huyu mwenzetu anaueitwa Yericko Nyerere ni mwenyeji humu JF labda atueleze kwani nimepita mahali katika vitongoji vya Kigamboni picha hizo hizo zikitumika kwa watu tofauti lakini sura zinafanana.Je hawa watu ni mtu mmoja au mapacha?

Mwenye taarifa atujuze kwani tumezoea kuiona picha hiyo ikitumiwa na "mchambuzi huru wa siasa" anayejiita Yericko Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msalimie Habib Mchange
 
Unataka umteke????????? nyie mnao lipwa buku 7 noma sana
 
Dah ....sheria na taratibu zikoje?[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
 
Mkuu, sheria na taratibu za JF zinakataza aina yoyote ya 'name calling'; mwache aenjoy uhuru wa anonymity tuliopewa. Hata wewe wewe tukikuuliza kuhusu uhalisia wa identity yako pengine hatutaipata! Tufuate taratibu za jamvi letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…