Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,485
Atakuja akuchinje usingizini huyo akikuta sms asizozielewa!Dada mzuri kweli!!asamehewe tu huyu mrembo nimchukue.
Atakuja akuchinje usingizini huyo akikuta sms asizozielewa!Dada mzuri kweli!!asamehewe tu huyu mrembo nimchukue.
Atakuja akuchinje usingizini huyo akikuta sms asizozielewa!
Usilete reference ya vitabu vya dini. Mungu anakusamehe lakini anakurudi. Unajua daudi alimwibia uriya mke. Pamoja na toba haswa lakini mwanae daudi alikufa. Asamehewe, afungwe ili akili ikae sawa
Atakuja akuchinje usingizini huyo akikuta sms asizozielewa!
msamaha utakaomfaa ni kifungo tu ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wenye tabia kama hiyo, ule sio ubinadamu hata kidogo kumtesa mtoto mdogo vile hata kama sio wako.
Kweli huyu si mzimaHata mimi nahisi akili zake haziko sawa.
Angekuwa yuko majuu nadhani mahakama ingeamuru achunguzwe afya ya akili yake (sijui kama hiyo mahakama ya Uganda imeamuru hivyo).
Ningewaelewa kama mngeanza kupiga campaign mashuleni walimu wasichape wanafunzi mboko!!.....labda mseme zile mboko na adhabu za kushika masikio hazina uzito sawa ila mkiweka ma cctv huko mashuleni,you will be suprised to find kuna walimu far worse than huyo dada...........having said that sikubaliani na kitendo cha huyo dada......

kama ni hivyo basi ziwekwe na majumbani kwa wazazi wanaopiga watoto wao, maana vipigo vya wazazi ni far worse than hao walimu,siwatetei ila walimu hupiga watoto for the reason ila ukiangalia kipigo kilichotolewa na huyu binti tena kwa mtoto mdogo vile wala hakielezeki.
Bora ume admitt kuna wazazi hawana tofauti na huyo dada wa uganda,so mkianza kuweka macctv msiwe na kikomo,wekeni majumbani,mashuleni msisahau kny bedrooms zenu lol
![]()
Jolly Tumuhirwe
Mfanyakazi wa nyumbani aliyenaswa kwenye kanda ya video akimchapa na kumkanyaga mtoto nchini Uganda, amefikishwa mahakamani leo.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe aliambia mahakama kuwa anajulia kile alichokifanya na hata kuomba msamaha. Ameshitakiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella.
Licha ya taarifa ya polisi kusema Jolly atashitakiwa kwa kosa la jaribio la ,mauaji, kiogozi wa mashitaka alimshitaki Jolly kwa kosa la kumtesa mtoto mdogo.
Jolly Tumuhirwe ameomba mahakama kumsamehe kwa kumtesa mtoto
Bi Tumuhirwe alikiri makosa yake na kuomba msamaha. Hakuna wakili yeyote aliyemwakilisha Jolly mahakamani licha ya mmoja wa mawakili mashuhuri kusema angemwakilisha Jolly bila malipo.
Kesi hio imeakhirishwa hadi Jumatano, wakati ambapo hakimu anatarajiwa kutoa hukumu yake dhidi ya Jolly.
Huenda akafungwa jela miaka 15 au kutozwa faini ya dola mianne au adhabu zote mbili.
CHANZO: BBC
wewe yule mtoto ni mdogo sana kwa kile kipigo,cdhani km kuna mzazi au mwl anaweza akampiga mtoto wa umri ule kile kipigo