Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

kina fulan wepi?? khalagabaho babuuu!
baraza inahusu hapa ukumbuke..............!!!

Nikiwataja hao kina fulani nitapewa mipasho hapa siku nzima halafu niumbuke bure mtoto wa kiume.

Inamaa Rutashubanyuma hajakupa jibu langu la kuhusu baraza hadi muda huu? Au ananionea wivu nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kina fulan wepi?? khalagabaho babuuu!
baraza inahusu hapa ukumbuke..............!!!

gfsonwin mambo yote kumbe ni baraza.......labda Sumu apewe muda aende akajipange upya.........naona hii Sumu ni bunduki bila risasi yaua namna gani?
 
Last edited by a moderator:
Nikiwataja hao kina fulani nitapewa mipasho hapa siku nzima halafu niumbuke bure mtoto wa kiume.

Inamaa Rutashubanyuma hajakupa jibu langu la kuhusu baraza hadi muda huu? Au ananionea wivu nini?

[MENTION][MENTION]gfsonwin[/MENTION][/MENTION] kazuka hebu okoa jahazi hapa.........
 
Yani mshenga nimekuamini sasa hivi unanigeuka. Kweli nimeamini, binadamu mpe hela atakufikishia lakini siyo wa moyoni.

Sumu huyu binti ni wa kwako mimi ni mshenga tu inabidi kwanza umfafanulie kama baraza unalo hadi saa hii unajimung'unyamung'unya tu.......
 
Last edited by a moderator:
Sumu huyu binti ni wa kwako mimi ni mshenga tu inabidi kwanza umfafanulie kama baraza unalo hadi saa hii unajimung'unyamung'unya tu.......

Mimi nimekosa imani na wewe mshenga. Wewe ni utakuwa mshenga wazima taa (LOL!). Jamani eeeeeeeeeeeeh! Naombeni msaada wa mshenga mwingine pleaseeeee wakuu! Mimi nina baraza, varanda, upenuni na kila kitu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Dah!!!Ruta kuna mida inabidi mpeane migongo tu,hamna namna!
 
Mimi nimekosa imani na wewe mshenga. Wewe ni utakuwa mshenga wazima taa (LOL!). Jamani eeeeeeeeeeeeh! Naombeni msaada wa mshenga mwingine pleaseeeee wakuu! Mimi nina baraza, varanda, upenuni na kila kitu.

Sumu acha kumwaga sumu kwenye kadamnasi ya watu.......
 
Last edited by a moderator:
..Sidhani kama zamani hii mambo ilikuwepo sana kama ilivyo kwa sasa

Never give up Zamani hawakuwa waangazaagngaza kama siye...............siku hizi macho ni balbu......na shingo za kugeuzwa kama ya kinyonga...................kisa tunawakiana tamaa kupindukia...................
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom