Yawahusu wanawake wa jf tu

Yawahusu wanawake wa jf tu

Mrembo, kama ni hivyo mbona tunafanya sana sana tu,kuna baadhi ya members humu tunashauriana sana PM, mie simfahamu kwa sura MJ1 lakini ni mmoja wa rafiki zangu wakubwa sana sana humu ndani,ninauwezo wa kumwambia lolote lile na tukashauriana, BHT ( miss u darling),kulikuwa na mdogo wangu Pearl, ZD, Firstlady1,Kongosho, Kaunga, etc. hiyo ya face to face ndio tulikuwa tunaiongelea humu, then msidhani tunaongea kama tumefungwa mota, hahaha, ya ladyfurahia hiyo, hahaha walishafanyaga humu kwahiyo tunajua madhara yake, sijui mnakutana wapi na wapi wengine walikuwa kimya lakini waliepuka vijimambo.

Mimi mwenyewe kukutana suwezi, ya nini kupata gharama ya kutafuta kipedo ili nisije geuka mada ya after party na miguu hii ya kushoto tehteh (natania tu) !! lakini kwa mie kuna mambo hata natamani kungekuwa na sehemu kama ya wanawake ili niposti kwa uhuru zaidi. Sijazoea sana kuwazukia watu PM.

Kuhusu kuongea kama mota ni lazima kwani hakuna kizuri kinachokuja bila kuwa challenged, penye kukosoana kuna maendeleo. Hapa sio kanisani au maneno ya bible kwamba hayapingwi mamii. Hatuwezi wote kuwaza sawa na kukubaliana kwa kila jambo.

Kundi likishaundwa nitakukaribisha tusongeshe umri lakini humu kwa humu. Mie sina hela za show off bwana kama za akina dada wa mjini wa vyumba vitatu vya jirani zetu.
 
hahahaha, haki ya nani nimecheka mpaka kichomi, ote ndao, hebu huko mwenzio bado nipo mzigoni ni nini na pedo na sendo zako za kimasai, hahahaha! bwana wanawake tuna kazi kubwa sana sana! very well said mdogo wangu Mrembo, wewe ndio umemaliza mjadala.
 
Asante kwa ushauri wako nashukuru umenifungua macho best ni kweli usemayo
usitegemee kuungwa mkono kirahisi na watu wote ktk wazo lako labda kama hakuna wenye kufikiria miongoni mwao. Lakini usirudi nyuma kwa kuwa umeungwa mkono na wachache kwani siku zote mambo mazuri huanzishwa na watu wachache.
 
nakuhakikishia hivi, yote hayo yataongelewa, unajifanyaga na kizungu chako humu kumbe kongosho mwenyewe ndio yule, khaa, umeshafika kwake sasa, ambavyo hajui kuvaa sasa, mbona anakosoaga wenzie sana kule kumbe mwenyewe ndio yule,sijui nini na nini, labda wanawake wa JF wameshushwa na Bikira Maria, kama ni hawa hawa wa ardhi/dunia hii, wacha wengine tubakie ki JF zaidi, mana tutajiongezea maadui wasio na lazima kabisa, wengine uvumilivu umetushinda, leo kongosho umeniropokea hovyo nimejua kesho nakupita kama ambulance inawahisha mahtuti KCMC,ukitoka hapo unaenda kuchonga umepitwa, wanawake tuna mambo mengi sana ya ajabu ajabu, kisa kitu gani?
Juzi tu tumeenda kwenye white party watu washaanza kusema walioenda ni mijimama mipashkuna?!!wakati watu tuna heshima zetu.Sasa kwa aina hii ya mitazamo itakuwa ngumu sana
 
Juzi tu tumeenda kwenye white party watu washaanza kusema walioenda ni mijimama mipashkuna?!!wakati watu tuna heshima zetu.Sasa kwa aina hii ya mitazamo itakuwa ngumu sana

ndio haya tunayasemea sasa, bwana wanawake tuna matatizo sana sana, sasa mambo gani haya? ngoja wengine tuishie kweny vi kitchen party vyetu vya uswahilini, hayo ya white/blue/purple yana wenyewe.
 
Hahahahahahahahah
daa kazi kweli kweli! Kwani Mrembo by Nature kwani ya kwenye vikao vyenu si mnyaacha kwenye vikao vyenu?

Mimi mwenyewe kukutana suwezi, ya nini kupata gharama ya kutafuta kipedo ili nisije geuka mada ya after party na miguu hii ya kushoto tehteh (natania tu) !! lakini kwa mie kuna mambo hata natamani kungekuwa na sehemu kama ya wanawake ili niposti kwa uhuru zaidi. Sijazoea sana kuwazukia watu PM.

Kuhusu kuongea kama mota ni lazima kwani hakuna kizuri kinachokuja bila kuwa challenged, penye kukosoana kuna maendeleo. Hapa sio kanisani au maneno ya bible kwamba hayapingwi mamii. Hatuwezi wote kuwaza sawa na kukubaliana kwa kila jambo.

Kundi likishaundwa nitakukaribisha tusongeshe umri lakini humu kwa humu. Mie sina hela za show off bwana kama za akina dada wa mjini wa vyumba vitatu vya jirani zetu.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe nawe ni mpenzi wa kitu eeh!!! I learned something new today.

Have a great weekend

Kwa lugha ya kandanda tungesema "man-to-man, close marking"

Shurti tupate nafasi ya kujifyaragua

Sio msururu wa watu, huna hata mmoja unaemjua vyema
 
mhm...hapa wanaume tuna kazi...wanawake wanataka kujipanga wajikomboe toka huu mfumo dume....ngoja tuwagegede mara ya mwisho maana karibuni tutambia kugegeda hakuna

hahaha umepinda wewe
 
Nimekuelewa sana bibie lakini naona hutaki kuukubali ukweli ninaosema. I doubt very much about this..Hapa tunafekisha sana our real identities.Tukikutana nadhani tutachukua muda sana ku cope na tabia za kila mmoja.Nishajaribu hii kitu ya wanawake kwenye jumuia nyingine tena kwa kusukumwa kwa winchi ilimradi tuende lakn wapi? Inahitaji UPAKO hii kitu.Na kwa Dar hii ndo sina uhakika kabisa kwani excuses ni nyingi hasa za kuhusiana na muda.Ni wazo zuri lakn umetoa kwani UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU.Lakini tufanyie kazi kwanza mapungufu yetu kama wanawake tusijifanye blind hatuoni tuna matatizo gani.May be ingeanzia kwanza jukwaani kwa mada mbalimbali watu wakishazoea ndio iende kwenye real life.Alichoandika mzabzab ni tatizo lingine tulilonalo sisi wanawake.
Nakubaliana na maelezo yako, humu jukwaan wanawake tumekuwa na mitazamo tofauti baina ya cc kwa cc. Sasa suala la kuunda umoja, mpaka kutembeleana na kufahamiana nadhani ni jambo ambalo ni zito kwa wengi kutokana na Id zetu na mitazamo yetu kiujumla.
 
Hahahahahahahahah
daa kazi kweli kweli! Kwani Mrembo by Nature kwani ya kwenye vikao vyenu si mnyaacha kwenye vikao vyenu?
Sio wote huwa wanafanya hivyo, hivi unawajua wanawake au unawasikia?????????tuna mengi migongoni mtuache tu, hata ukikohoa tabu, ukijikuna itakuwa tabu pia. La muhimu tuyatue ndio twende kwa umoja huu la sivyo yatatushinda
 
Hili wazo zuri sana my dia lady furahia,nilikuwa nimeingia kama mgeni lakini imebidi nilog in.
 
Back
Top Bottom