Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
tunaogopa kubakuliwa mweeeeh!Kikao cha kwanza njooni mfanyie kwenye li apartment langu masaki.... Kongosho analijua atakuleteni.
Ps: msije na drinks kila kitu mtakikuta.
tunaogopa kubakuliwa mweeeeh!Kikao cha kwanza njooni mfanyie kwenye li apartment langu masaki.... Kongosho analijua atakuleteni.
Ps: msije na drinks kila kitu mtakikuta.
una jina zuriiihili wazo zuri sana my dia lady furahia,nilikuwa nimeingia kama mgeni lakini imebidi nilog in.
Juzi tu tumeenda kwenye white party watu washaanza kusema walioenda ni mijimama mipashkuna?!!wakati watu tuna heshima zetu.Sasa kwa aina hii ya mitazamo itakuwa ngumu sana
Sio wote huwa wanafanya hivyo, hivi unawajua wanawake au unawasikia?????????tuna mengi migongoni mtuache tu, hata ukikohoa tabu, ukijikuna itakuwa tabu pia. La muhimu tuyatue ndio twende kwa umoja huu la sivyo yatatushinda
Lov kama vipi ntakusindikiza![/QUO
inabidi iwe hivyo swr!
nduguyo simwamini kabisaaaaaa!
Hahahaha eti myatue!
Poleni sana bila shaka inabidi mvumiliane.
lady furahia.. Samahani mami.. Kwa ulivyofikiri hilo group unategemea liwe ni la online au .. Litahusisha kuonana face to face!!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yani loya we acha tu..watu wana mambo .afu alokuwa anashadadia namuheshimu sana yani..Zion Daughter usivunjwe moyo maa binadamu hawawezi kuacha kusema hata siku moja!
Heee kuna watu wako hivyo duuuh. Anyway binadamu wana mengi na tabia haina dawa. Nadhani swala la kukutana ni gumu kidogo lkn kuwa na jukwaa la wamama/wadada nadhani ingependezaamimi mwenyewe simo kabisa.watu wana tabia tofauti,ugomvi sijauzoea.kuna mdada mmoja humu,alichukua kitu cha mtu na hakulipa{ni mtu maarufu tu}na huwezi kumdhania kutokana na michango yake.sasa jee mambo ya kukutana mwanzo yataenda vizuri,baadae yatakuwa ndio hayo hayo.wanawake tunajuana.wapo watu wenye mioyo mizuri,na wapo watu waharibifu.na usidhani kila anae comment vizuri au comment zilizoenda shule ukadhani in real life mtu yupo hivyo.sio wote wako hivyo.{mfano huyo dada tu sikutegemea}ila nina amini watu wapo ambao wenye mawazo mazuri kwenye comment na in real life wako hivyo.nampa big up Ashadii
Mie hata ukinipa mijihela siji..Bora tukakutanie mabwepandeKikao cha kwanza njooni mfanyie kwenye li apartment langu masaki.... Kongosho analijua atakuleteni.
Ps: msije na drinks kila kitu mtakikuta.
Hujambo? sijakusalimia siku nyingi mwanamke mwenzangu.......
hahaha umepinda wewe
Du! kweli kugegeda kumekaa damuni mwako! Swalama lakini?
uuh imetulia.... mzabzab against us!!!! yuuuhuuuu