Nimekuelewa sana bibie lakini naona hutaki kuukubali ukweli ninaosema. I doubt very much about this..Hapa tunafekisha sana our real identities.Tukikutana nadhani tutachukua muda sana ku cope na tabia za kila mmoja.Nishajaribu hii kitu ya wanawake kwenye jumuia nyingine tena kwa kusukumwa kwa winchi ilimradi tuende lakn wapi? Inahitaji UPAKO hii kitu.Na kwa Dar hii ndo sina uhakika kabisa kwani excuses ni nyingi hasa za kuhusiana na muda.Ni wazo zuri lakn umetoa kwani UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU.Lakini tufanyie kazi kwanza mapungufu yetu kama wanawake tusijifanye blind hatuoni tuna matatizo gani.May be ingeanzia kwanza jukwaani kwa mada mbalimbali watu wakishazoea ndio iende kwenye real life.Alichoandika mzabzab ni tatizo lingine tulilonalo sisi wanawake.
haya bwana mie naona itabidi nianzishe counselling sessions kwa akina dada wa jf....nitawapeni njia za kujenga mshikamano . no malipo