Yawahusu wanawake wa jf tu

Yawahusu wanawake wa jf tu

Na ya nyumbani kwako kuwa umepanga chumba kimoja Tandale kwa mfuga mbwa yanasambazwa PM
Inahu??

nakuhakikishia hivi, yote hayo yataongelewa, unajifanyaga na kizungu chako humu kumbe kongosho mwenyewe ndio yule, khaa, umeshafika kwake sasa, ambavyo hajui kuvaa sasa, mbona anakosoaga wenzie sana kule kumbe mwenyewe ndio yule,sijui nini na nini, labda wanawake wa JF wameshushwa na Bikira Maria, kama ni hawa hawa wa ardhi/dunia hii, wacha wengine tubakie ki JF zaidi, mana tutajiongezea maadui wasio na lazima kabisa, wengine uvumilivu umetushinda, leo kongosho umeniropokea hovyo nimejua kesho nakupita kama ambulance inawahisha mahtuti KCMC,ukitoka hapo unaenda kuchonga umepitwa, wanawake tuna mambo mengi sana ya ajabu ajabu, kisa kitu gani?
 
Nashukuru kwa maoni yako ila acha kwanza tuliunde jukwaa kisha mambo mengine yatafuata, ila watu wengi wanasema kuwa wanawake wakikaa pamoja wanaweza kugombana mm binafsi nakataa kwanini tuwe positive na sio negative, hatuwezi leta magomvi yeyote na ikiwapo mmoja wetu anafanya hivyo tutarekebishana na kuendelea mbele jamani MSIOGOPE KUANZISHA KITU PALIPO NA NIA PANA NJIA
Ni wazo zuri ila wanawake wengi tukishakutana hatupikiki chungu kimoja
Halafu naogopaje watu wengi nisio wajua manake binadamu tumetofautiana,kila mtu na tabia zake.
Labda kwa wale wanaohitaji kuanzisha waungane,kama namna ya kuunda marafiki wapya
 
Hee jamani wanawake mna mambo haya ngoja jukwaa lenu lije
nakuhakikishia hivi, yote hayo yataongelewa, unajifanyaga na kizungu chako humu kumbe kongosho mwenyewe ndio yule, khaa, umeshafika kwake sasa, ambavyo hajui kuvaa sasa, mbona anakosoaga wenzie sana kule kumbe mwenyewe ndio yule,sijui nini na nini, labda wanawake wa jf wameshushwa na bikira maria, kama ni hawa hawa wa ardhi/dunia hii, wacha wengine tubakie ki jf zaidi, mana tutajiongezea maadui wasio na lazima kabisa, wengine uvumilivu umetushinda, leo kongosho umeniropokea hovyo nimejua kesho nakupita kama ambulance inawahisha mahtuti kcmc,ukitoka hapo unaenda kuchonga umepitwa, wanawake tuna mambo mengi sana ya ajabu ajabu, kisa kitu gani?
 
Nashukuru kwa maoni yako ila acha kwanza tuliunde jukwaa kisha mambo mengine yatafuata, ila watu wengi wanasema kuwa wanawake wakikaa pamoja wanaweza kugombana mm binafsi nakataa kwanini tuwe positive na sio negative, hatuwezi leta magomvi yeyote na ikiwapo mmoja wetu anafanya hivyo tutarekebishana na kuendelea mbele jamani MSIOGOPE KUANZISHA KITU PALIPO NA NIA PANA NJIA
wazo ni zuri sana hata mimi nimeliafiki ila wanawake wengi hatupendani kabisa.
 
Bint.com sijalijua jina lako best ndo mana sijakumention hapo samahani lakini usinichukie best nakupenda
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa ushauri mzuri ila itabidi kiwanza tuwe na jukwaa hapa hapa kisha mambo mengine tutayafanya pindi tutakapochagua viongozi wa kundi letu hilo hayo usemayo kweli yapo ila hatutayapa kipaumbele na tukiona kuna mwenzetu anapotoka tutarekebishana sisi wenyewe, na lingine sio kwamba nilisema tunatembeleana majumbani kwetu la hasha! hujanielewa hapo ni kwamba tutakuwa tunatafuta mahali mfano kwenye sehemu za wazi wanazokutana watu hasa wale wenye kamati za harusi huwa wanafanyaga hivyo hizo sehemu tutakuwa tukijali mambo yetu au kama kuna mmoja wetu ana nafasi kwake tutakwenda pale na ndipo patakuwa mahali pa kukutania si vinginevyo mpendwa naomba unielewe

kwamba naumwa hoi, mnipeleke sehemu ya wazi? hiyo red huo ndio mwanzo wa matatizo sasa, nakuhakikishia, mie nina vikundi hapa mjini, vitatu kati ya hivyo ni vya wamama watu wazima kabisa,hivi vina ahueni, viwili ni vya wadada wa mujini, hahahaha vinasaidia sana sana but mambo ya kike kwa kwenda mbele,wengine tunaweka pamba masikioni tunasonga, ni kwamba wanawake wakikutana zaidi ya watatu matatizo lazima lazima yatokee, but nawatakia kheri, huko mitaani/maeneno yenu hakuna wanawake mpaka mje mkusanyane wa JF?
 
mhm! jamani nilijua tu na wewe usiongee haya acha tutake haki yetu bhana tumechoka kunyanyaswa hovyo na MFUMO DUME wwe utaona 2015 tunachukua Nchi yetu Tanzania maana naona sasa ninyi mmechoka kuongoza sasa ngoja tuwaongoze muone mambo eyetu siye WANAWAKE TUNAWEZA
mhm...hapa wanaume tuna kazi...wanawake wanataka kujipanga wajikomboe toka huu mfumo dume....ngoja tuwagegede mara ya mwisho maana karibuni tutambia kugegeda hakuna
 
Tuwaombe tu watupe jukwaa letu,tuna maswala mengi ya kuzungumzia asee ladyfurahia
Tumechoka nyanyaswa na hawa wanaume japo wengine waume zetu.........tunataka gender balance
 
Last edited by a moderator:
Nyamayao lile lilikuwa ni wazo tu waweza ongea chochote ukipendacho na kama wewe hauko tayari waache wenzio tufanye vitu na sio kuropoka ovyo utafikiri umewekewa morta mdomoni yakutoke yanayokutoka kila kheri katika vikundi vyako
 
Last edited by a moderator:
Nimeyapenda maneno yako na yamenifurahisha sana nitajadiliana nao mafounder wetu kisha wakitaka tutaliona hilo jukwaa soon as possible usijali best, ila kuna watu wengine hapa wanataka kupotoa wazo hili zuri kwetu mioyoni mwao wamejaa vitu visivyopendeza hawajanifurahisha na maoni yao ila si unajua tena mambo jf bhana nawachukulia na kuwasemehe bure acha tuendelee na mkakati huu na acha nianze kulifuatilia nitakufahamisha nitakapofikia asante best

Aya kipenzi, Wengine ni wenzetu humu lakini waala tusikate tamaa,wishing you the best of luck mumie.
 
Nashukuru kwa busara zako nimesema kuwa tuanzishe jukwaa ambalo litajadili women issue na kuleta maendeleo kwa mwanamke hasa yule wa kijijini na hata mjini pia na kuleta suluhu kwa wale wanawake wanaopitia vikwazo, matatizo ya ukandamizaji/unyanyasaji wa kijinsia kwao, na vilevile kwa wanawake wote kiujumla nia na lengo hasa ndo hilo nililosema ila baada ya muda wa kujadiliana na kufikia kikomo cha jukwaa letu ndipo tutaweka viongozi ambao watashughulikia jambo hili kwa uhalisia zaidi na hao viongoizi watatoka kila mkoa kwa mkoa, ila Viongozi wakuu watakuwa wanatoka mkoa mmojawapo, NIA hasa ni kuleta mahusiano yaliyo mazuri miongoni mwetu hasa sisi wanawake na maendeleo kiujumla na kumkomboa mwanamke dhidi ya mfumo dume uliomkandamiza, vikundi vitakuwepo kwa kila mkoa na kila mkoa utachagua viongozi wadogowadogo wa kuongoza kikundi hicho sijui hapo umekwisha nielewa best
asante
wazo zuri mm nimelipenda, lakini je tutakuwa na makundi, mf:- wanawake wa JF Dar, wanawake wa JF moshi halafu kunakuwa na mkutano mkuu wa mwaka ndipo tunakutana wote, au Inakuwaje?
 
Nyamayao lile lilikuwa ni wazo tu waweza ongea chochote ukipendacho na kama wewe hauko tayari waache wenzio tufanye vitu na sio kuropoka ovyo utafikiri umewekewa morta mdomoni yakutoke yanayokutoka kila kheri katika vikundi vyako

wewe kiazi mbatata kweli, huu si ndio mwanzo wa majadiliano unapaniki kitu gani, au nyie mmeshushwa toka mbinguni? unadhani kutakuwa na lipya lililoshushwa kutoka mbinguni kwenye huo mjumuiko wenu, well nilitolea mfano tu wa vikundi vyangu na vyenu havitakuwa na tofauti yoyote na vyangu, wanawake tutabakia kuwa wanawake tu, kusipokuwa na hili kutakuwa na lile mradi mambo ya kike tu, kila ka kheri kwenye umoja wenu!
 
Ntakua pembeni 'ako Paloma,duh.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom