YAVUZ YAKUZ......

YAVUZ YAKUZ......

Mapenzi yamekua changamoto sana kipindi hiki...
Ila haya ni maneno mawili ambayo yatafanya upate mpenzi ambaye atakutii na wewe utamtii yaani kiufupi mtatiana...

Maneno haya ni mawili tuu YAKUZ NA YAVUZI..

Kaa ndani peke yako hakikisha kama wa kike ujafanya mapenzi week moja kabla na kama wakiume hv hv wala ujapiga nyeto.

Maneno haya unayasema mara mia tatu ...150 YAKUZ, 150 YAVUZ.....

BAADA YA HAPO NASUBIRI MAJIBU HAPA.. KARIBUNI JA NAKARIBISHA MASWALI
Mavuzi Tena?
 
Why was Calypso cursed? Calypso was cursed for her involvement in the Titanomachy, the war between the Titans and Olympian gods. As the daughter of Titan Atlas, she was aligned with the losing side, so Zeus and the gods confined her to Ogygia in isolation.

Calypso who detained Odysseus.
Bg song unayowaambia watu watumie hutumia Kama Gundi au kiunganishi kwa huyo minnor female goddess.
 
images (20).jpeg
 
Duuh we mkuu lazima nikutafute kwanza maana ushaanza kunitishia amani
 
Uongo, Kila siku nipo hapa nasoma nyuzi za Poor Bray💯
😂😂😂😂😂😂Mkuu mybe nilikua nimekalili ile id yako maana sometimes ukiona kapicha tuu unajua huyu ni nani..

Basi mambo yalikua vururu varara.. daah ndo tuna maliza maliza mwaka mkuu naimani nina bonge la connection nikitoka huku mabandani..

Nakuja moja kwa moja kwako niwe hata secretary hapo
 
💯
 
Mapenzi yamekua changamoto sana kipindi hiki...
Ila haya ni maneno mawili ambayo yatafanya upate mpenzi ambaye atakutii na wewe utamtii yaani kiufupi mtatiana...

Maneno haya ni mawili tuu YAKUZ NA YAVUZI..

Kaa ndani peke yako hakikisha kama wa kike ujafanya mapenzi week moja kabla na kama wakiume hv hv wala ujapiga nyeto.

Maneno haya unayasema mara mia tatu ...150 YAKUZ, 150 YAVUZ.....

BAADA YA HAPO NASUBIRI MAJIBU HAPA.. KARIBUNI JA NAKARIBISHA MASWALI
Maneno haya unayasema mara mia tatu
YAKUZ YAVUZ
YAKUZ YAVUZ
YAKUZ YAVUZ
YAKUZ YAVUZ
YAKUZ YAVUZ
YAKUZ YAVUZ
noma mpaka ufikie hio idadi ushachanganya madesa YAZUKA VUZUZ!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom