Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
- Thread starter
- #81
Pima tena hospital nyingine alafu ukishahakiki uweke kufuli kabisa maana Yale maswala kwa wakaka ni magumu
nitafanya hivyo baada ya muda
Pima tena hospital nyingine alafu ukishahakiki uweke kufuli kabisa maana Yale maswala kwa wakaka ni magumu
Habarini za mchana wana jukwaa, ni matumaini yangu kuwa muu wazima na mnaendelea na maandalizi ya kumpokea mtoto Yesu kwa wale wakristo wenzangu. Baada ya kusema hayo nirudi moja kwa moja kwenye mada, binafsi nimepita katika mapito mengi upande wa mahusiano napenda nikiri hilo. Na baada ya kutafakari sana nimeona yatosha kwa kuwa hakuna kitu kigeni kwenye swala la wanawake, ndipo nimechukua uamuzi wa kwenda kucheki afya na kukuta afya yangu bado ni nzuri na namshukuru Mungu. Sasa ni wakati wa kutulia hadi Mungu atakapaponipa mwenza wa maisha, Ee Mungu nisaidie.
kwani hao uliowataja wameathirika...?
mbona mkali mamaafacebook....?Weee uende wapi kama una ham ya kujua maharage n mboga au chakula cha wafungwa gerezan mpeleke uone kwanza ubinam umetokea wapi
na macho utoboe
Tuwekee copy ya majibu yako hapa Mpwa isije ikawa ni gear ya kuwapata mabinti wa Jf. Blessed
usitake kunchanganya sawambona mkali mamaafacebook....?
kwani hao uliowataja wameathirika...?
hebu waulize....sjui tuwaulize
hebu waulize....
sema tubinamu unajua nini au basi nimeghairi kusema
HamnaNaona totoz nyingi zitakufuata kwenye profiille