kichunafk
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 992
- 479
I will tel u...
karibu
I will tel u...
Hee mpaka matazamio tena..hauezi pima kwani in goodfaith????
Teh teh umentia moyo ngoja na mimi nikachukue majibu nliyokimbia mwaka uleee
Majibu yatakuwa yame expire
Teh teh umentia moyo ngoja na mimi nikachukue majibu nliyokimbia mwaka uleee
wahi mapema
Amen mkuu
Au nikusindikize binamu...?
Au nikusindikize binamu...?
habarini za mchana wana jukwaa, ni matumaini yangu kuwa muu wazima na mnaendelea na maandalizi ya kumpokea mtoto yesu kwa wale wakristo wenzangu. Baada ya kusema hayo nirudi moja kwa moja kwenye mada, binafsi nimepita katika mapito mengi upande wa mahusiano napenda nikiri hilo. Na baada ya kutafakari sana nimeona yatosha kwa kuwa hakuna kitu kigeni kwenye swala la wanawake, ndipo nimechukua uamuzi wa kwenda kucheki afya na kukuta afya yangu bado ni nzuri na namshukuru mungu. Sasa ni wakati wa kutulia hadi mungu atakapaponipa mwenza wa maisha, ee mungu nisaidie.