Yatima, mwanafunzi wa IMTU ajinyonga baada ya kufeli mtihani

Yatima, mwanafunzi wa IMTU ajinyonga baada ya kufeli mtihani

Hapa sitii neno,nasikitika na kutingisha kichwa tu.
 
yeye ndiye ajuaye magumu aliyo yapitia, kumuita/kuita kitendo chake upuuzi mnakosea.

kuna ile unatoka home unaona kabisa namna walivyo uza mashamba, viwanja kwa ajili yako na tumaini pekee likawekwa kwako. huku ukisindikizwa na maneno kasome yaani ukifeli umeiua familia.

inatokea unafeli, unaziona lawama taslimu za ndugu, familia na ukoo mzima. huoni mchongo wa kuzipa gape hauna wa kumshirikisha maswahibu yako hapo r.i.p itakuhusu.

humu wengi mnaongea tu hata kulala njaa hajawahi, mmesomea shule nzuri bila bugudha ya wazazi kuuza kila kitu na kuweka tumaini lote kwako.

acheni haya mambo kama una moyo laini, kitanzi kitahusika tu
Sasa utadisco vipi kama una commitment kubwa hivyo unless kuwe na nguvu za giza zikuzuie kukomaa,
 
Akizungumza kwa simu kutoka Morogoro, baba mdogo wa marehemu, Joseph Lukuba alisema amepokea kwa mshtuko taarifa za mtoto wake.
“Kama familia tumehama na tuko mbali kikazi, tumemuomba jirani asimamie suala hili wakati taratibu za mazishi au kusafirisha mwili zikiendelea,” alisema
.

INASHANGAZA YAANI HAPO MOROGORO NDIO WAKO MBALI SANA HADI WAOMBE JIRANI ASHUGHULIKIE MSIBA. AMA KWELI YATIMA HADEKI
 
Yatima inahusiana nini na kujinyonga? mtu miaka 28 unajihesabia yatima?
nilidisco nipo mwaka 3 sikukata tamaa nikarudia upya mwaka wa kwanza! nikatusua vizuri tu.
Kujinyonga ni ujinga
Una disco vp duuu...
 
Yatima inahusiana nini na kujinyonga? mtu miaka 28 unajihesabia yatima?
nilidisco nipo mwaka 3 sikukata tamaa nikarudia upya mwaka wa kwanza! nikatusua vizuri tu.
Kujinyonga ni ujinga
Huyu jamaa naona kadisco mara ya pili akajiona ni useless na hopeless kumbe angepata mtu wa kumshauri angekomaa tu kitaa.
Huku kitaa kuna watu wana masters zao kibao hawajawahi kupata ajira.
Wanatumwa deiwaka na watu wasiosoma au wanatumwa na watu wenye bachelor degree.
 
Apumzike kwa amani Ndugu yetu
Kuna watu wanacomment humu as wako perfect 100% hivi mnajua depression,burnout halafu ukose ushauri nasaha mzuri???
Wengi wanacommit Suicide kutokana na Vitu mbalimbali kama vile
Unemployment
Social isolation
Divorce
Kufeli maisha
Msongo wa mawazo uliopitiliza nk

La msingi ni vyuo au ofis zetu kuwa na watu wa ushauri nasaha inapotokea mfanyakazi kafukuzwa au mwanafunzi kafeli mitihani yake basi apewe ushauri mzuri na wataalamu.
Umeongea neno mkuu...

Mitihani min gine huwa inakuwa myeusi hata haionekani!
 
Hayo ni Maamuzi ya Kiundewazimu, sasa Shule amefeli hadi na Maisha nayo kapoteza kwa uzembe hata huko anakoenda akiulizwa kwa nini umefika hapa anajibuje sasa? Binafsi siwezi kufanya Uchuro wa namna hiyo!
 
Back
Top Bottom