Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha
Nasikitika kuwa Charles Msonde ndiyo anakaimu hii nafasi nyeti. Msonde hana maadili kuitumikia hiyo nafasi maana ni mwizi. alipokuwa udsm kama kiongozi wa wanafunzi aliiba hela,alichonga mihuri feki ya malipo mpaka wa jeshi. Aliandika barua ya kukiri uwizi akalipa kidogoUthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Yaani we mwaname ni hovyo kabisa sijawahi kudhania....How can u endekeza udini kiasi hiki....mbona wengine tumeongozwa na waislam na hatujahisi tatizo lolote.......Wana JF imefikia wakati wa kuwatambua hata hawa wachochezi wa mgawanyiko wa jamii yetu kupitia kwenye internet.Especially this FaizaFoxy
Kuna waliomtuhumu Ndalichako kwa kuigeuza NECTA kama Parokia. Has their wish been granted by Charles replacing Joyce? Tusubiri tusikie watasema nini.
Unaonaje Dr. Sheikh Ponda Issa Ponda au Sheikh Farid Bin Jumaa akapewa?
Angekuwepo ndiyo angewasaidia?
Wewe unafikiri sakata linalomuondoa hapo ni lipi?
Mkuu umewahi kusoma katika shule za kiislam? Shule kabla ya kusajiriwa, lazima ipeleke mitahala yake, sasa serikali inaweza kusajiri shule zinazofundisha mitaala ya dini tuu? kuhusu ulipuaji hauna dini, zipo dini zilikwenda hospitali na kuzilipua, just because hawakubaliani na imani zao. Acha dharau, onyesha heshima katika dini za wenzako nawe ya kwako itaheshimiwaHuenda ukawa mfuasi wa Al-Shaabab, hivi akiwa mwislamu atawafanyia mitihani? hapa jambo la mhimu ni shule za kiislamu kupunguza mafunzo ya ahera, watoto waelimishwe na elimu dunia kwa ufasaha, mkiendelea na elimu ahera watoto wataishia kujifunza namna ya kulipua tu, na kusubiri kwenda kuwa wahandisi huko ahera
mimi kama muslim ningependekeza nafasi hiyo apewe asiye na dini...teh teh..Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
teh teh...Unaonaje Dr. Sheikh Ponda Issa Ponda au Sheikh Farid Bin Jumaa akapewa?
Mungi! you are better than this, hawa jamaa wa CCM wanasema vitu to provoke, sasa nyie watu wenye kuonyesha misimamo ya kuipinga CCM mnavyoingia katika mitego hii, mnaharibu sura ya harakati.Unaonaje Dr. Sheikh Ponda Issa Ponda au Sheikh Farid Bin Jumaa akapewa?
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
hovyo! someni mnapenda sana kubebwa nyie wa kipande hyo.