Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
kwanin mtu ujilipue kisa eti bikra 72 khaaa!!!!Huenda ukawa mfuasi wa Al-Shaabab, hivi akiwa mwislamu atawafanyia mitihani? hapa jambo la mhimu ni shule za kiislamu kupunguza mafunzo ya ahera, watoto waelimishwe na elimu dunia kwa ufasaha, mkiendelea na elimu ahera watoto wataishia kujifunza namna ya kulipua tu, na kusubiri kwenda kuwa wahandisi huko ahera
Alikuwa anabalance ili acheze na akili za watuKumbe makosa yalionekana, je makosa hayo ilikuwa ni hujuma za Ndalichako???
Mwaka 2012/13 wanafunzi wengi wamefeli kidato cha nne, ikabainika kuwa ukokotoaji wa alama za ufaulu ulibadilishwa kwa wahitimu wote, je Ndalichako alihujumu tena waislamu tu hapa au alihujumu wote au ni serikali ilihujumu???
Hapo hajawahi kushika Muislaam toka paanzishwe. Ikiwezekana kila nafasi kama usemavyo, itakuwa ni vizuri sana kwani wenzetu hamfundishwi kuongoza mnafundishwa kuongozwa (kondoo) tu.
Polycarp Pengo akiingia Uislaam kama wanavyoingia wachungaji wenzake kwa makundi itakuwa ni vyema sana, atakuwa kajijuwa kuwa alipotea na kupoteza wenzake. Hana msamaha ila akiingia kwenye Uislaam tu.
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
,Tanzania tutakuwa kichwa cha mwendawazimu hadi kwenye elimu, nakumbuka kwenye soka tulipiga sana kelele dhidi ya Maximo lakini hadi leo sijaona maendeleo yoyote kwenye michezo, now the same kwenye elimu kwa kumtoa mama ndalichako haitabadilisha kitu zaidi ya kuendelea kudolola kwa kiwango cha elimu. tubadilike watanzania wenzangu.
Unapenda kushabikia udini mkuu kha!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Bora darasa la saba la ponda kuliko PHD ya Ndalichako, isiyokuwa na tija.lazima waislamu tuungane kumpigia kura shehe ponda awe katibu necta!. hata kama darasa la saba sawa, sis anatufaa.
Kumbe makosa yalionekana, je makosa hayo ilikuwa ni hujuma za Ndalichako???
Mwaka 2012/13 wanafunzi wengi wamefeli kidato cha nne, ikabainika kuwa ukokotoaji wa alama za ufaulu ulibadilishwa kwa wahitimu wote, je Ndalichako alihujumu tena waislamu tu hapa au alihujumu wote au ni serikali ilihujumu???
mmmmh! kazi tunayo; kumbe hiyo nafasi nayo ni ya kidini!!! poor Tanzania!
Hao hata wapige kelele vipi dunia hii mpaka itakapofikia mwisho wake Mkristo ataendelea kutawala.Hata kama hana sifa? Kwani dini ni kigezo cha kupewa kazi siku hizi?
Aliwakataje hebu tuambie bi mkoraAlvyowakatia maksi Waislaam akajidai ni kompyuta hukujuwa kuwa yeye ni dini gani?
Hata kama hana sifa? Kwani dini ni kigezo cha kupewa kazi siku hizi?
Kama fikra za Watanzania zimefikia hivi,basi taifa hili lipo ICU.
Yeye alipowakata maksi Waislaam alitumia kigezo gani? Waislaam waliposhtukia hizo njama ndio akajidai eti kompyuta.
Ungekuwa mwadikigu ungekuwa mdini? Unajua maana ya uadilifu? Unaonesha baada ya madrasa jkiinhia kwenye juzuu na hujawahi kuishi na watu wa imani nyingine zaidi ya hiyo ya kwako. In other words you have no exposure.