Yasemwayo yapo au imani potofu?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,580
48,729
ukidondosha kioo cha kujitazamia kikapasuka utapata miaka saba ya mikosi na mabalaa


ukikutana na paka mweusi njiani ni mkosi

ukilala na viatu ndani huku kimejigeuza juu chini ni ishara ya bahati mbaya na mikosi

kuweka pochi chini hutapata hela

endelea......
 
Kwa wanaume eti ukikojoa na usipotema mate kwenye mikojo eti utakuta dudu halipo cjui kwa wanawake hii ikoje?
 
Ukimuwaza sana Ngabu kama wewe ni mchuchu basi ipo siku atakumega...

Asiyeamini na ajaribu aone....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom