Yapi umejifunza ukubwani kuhusu mapenzi na mahusiano?

Yapi umejifunza ukubwani kuhusu mapenzi na mahusiano?

Ndo vtu mwanao.napenda..
Ni kheli univunje goti ila sio unizuie nisifate haya mambo
Mie sikuzuii, we nenda kabembee kwenye makalio na maziwa ya mishangazi, tena hawanaga baya, wanaweza kukupa ulale nalo mdomoni, ukishtuka unanyonya tena halafu unasinzia 🤣😅🤭
 
  1. Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha.
  2. Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine.
  3. Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako.
  4. Kutengeneza mahusiano mazuri na ndugu wa ukweni (pasua kichwa sana).
  5. Kutofanya maamuzi nikiwa nimekolewa na utamu / mapenzi - hasa baada ya kumaliza kuchakatwa :uwotWater: :uwotWater: :uwotWater:

Njoo uongeze na za kwako.
NAJUTA KUWAFAHAMU MASHETANI.
 
La madawa ya waganga mpaka nakuja kutoka sitosahau maumivu yake next time mtu akiniambia amekutana na hayo mambo namuelewa vizuri sana. Vitu vingine kuvielewa ni mpaka uexperience
Hebu tusimulie kidogo ilikuwaje, binafsi sina experience na hayo mambo na huwa najiuliza sana kama ni kweli au huwa ni stori tu za watu.
 
Mie sikuzuii, we nenda kabembee kwenye makalio na maziwa ya mishangazi, tena hawanaga baya, wanaweza kukupa ulale nalo mdomoni, ukishtuka unanyinya tena halafu unasinzia 🤣😅🤭
Weeeeeh weeeeh weeeeh 🤗🤗🤗🤗🤗🤗
 
Pole na mihangaiko, hiki kijiji nishahama. Njoo huku
Asante kwa tag mshangazi,, huo Uzi nitaufungua nikiwa nimeshaoga nimelock na mlango wa room nipo uchi.... Ss hivi bado sijafika home, by saa 6 ndio nitakuwa hapo. Ss hv hata nyuzi sioni vzuri maana hiki kigari tulichopanda kinarusha sana
 
Penzi hua halifi,Bali kinachokufa ni mawasiliano baada ya Kila mtu me na ke kuona wanachokitaka hakipo.
IlA mawasiliano yakorudi,penzi liko pale pale
 
Back
Top Bottom