Yapi umejifunza ukubwani kuhusu mapenzi na mahusiano?

  1. Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha.
  2. Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine.
  3. Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako.
  4. Kutengeneza mahusiano mazuri na ndugu wa ukweni (pasua kichwa sana).
  5. Kutofanya maamuzi nikiwa nimekolewa na utamu / mapenzi - hasa baada ya kumaliza kuchakatwa :uwotWater: :uwotWater: :uwotWater:

Njoo uongeze na za kwako.
Usimtunze mwanamke asiye wako na usithubutu kulea ama kusomesha watoto wa mwanamme mwenzako kwani hawana faida kwako.
 
  1. Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha.
  2. Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine.
  3. Kupendwa ni bora kuliko kupenda, ikitokea scale imeelemea kwako utafurahia na roho yako.
  4. Kutengeneza mahusiano mazuri na ndugu wa ukweni (pasua kichwa sana).
  5. Kutofanya maamuzi nikiwa nimekolewa na utamu / mapenzi - hasa baada ya kumaliza kuchakatwa :uwotWater: :uwotWater: :uwotWater:

Njoo uongeze na za kwako.
Usimchukulie mwanamke serious, atakupotezea muda na malengo yako maishani
 
Nmejifunza bikra ina umuhimu mkubwa hasa kwa mwanamke ambaye hakuwahi kuolewa
 
Back
Top Bottom