welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,229
- 4,838
Nilichojifunza wanawake wengi waajiriwa wakishapata watoto hawapendi kuwa na waume zao na mapenzi ndani huisha kabisa na kuishi kwa mazoea.
Toka lini mpwa ukafanya ngono ili kuzalisha? au umekua raha hutaki tena?Nimejifunza isingekuwa sio kuzaliana ngono haina faida!
Pia,
Tunawapenda wanaotuumiza, tunawaumiza wanaotupenda
Acha nile ngoma:
Natamani kuwa single ila naupwiru unakaba koo,
Mabinti wenye vifundo hao ndio wananitoa roho,
Mi mbovu sana jambo lile ni kama chakula lazima nile...
Ewaaalaaaaaa, hatunaga shughuli mbovu.Okay basi njoo......
View attachment 3351285
😂 😂 😂 pole sana, kwahiyo mapenzi hujihusishi nayo kabisa?Kama nilishindwa kuielewa hata table ya pili imetokea wapi mapenzi sitakuja kuyaelewa never
Niliamua kusitisha zoezi la kumwaga mbegu zangu hovyo, baada ya bidada mmoja kusema nimpe kitita cha elfu20 ili nilale nae, nikamwambia mbona wewe hunipi elfu20 au raha unajipa mwenyewe, akasema me mkorofi.Toka lini mpwa ukafanya ngono ili kuzalisha? au umekua raha hutaki tena?
Safi sana, endelea kufurahia maisha na mshangazi, najua utanogewa tu!Nikiwa njiani kukata tamaa ndipo mungu alituma mshangazi fln kubadrisha fkra zangu kwa sasa najifunza zaidi kuwapenda.
Ndiyo amekufundisha kuhusu mapenzi au?Namlaumu Maxence Melo
Sijawahi kujutiaSafi sana, endelea kufurahia maisha na mshangazi, najua utanogewa tu!
48yrs old.Kijana, lete uzoefu wako, umejifunza nini?
Ukweli mchungu, huwa inahitaji jitihada za ziada kurudisha penzi mkishazoeana na kuwa na watoto. Late 30's to early 40's kipindi kigumu sana cha ndoa nyingi!Nilichojifunza wanawake wengi waajiriwa wakishapata watoto hawapendi kuwa na waume zao na mapenzi ndani huisha kabisa na kuishi kwa mazoea.
Sawa mtu mzima mwenzangu, haya lete hizo experiences sasa!48yrs old.
Duuh wamekutapeli nini kiongozi?Nimejifunza kutowatilia maanani wanawake maana wengi matapeli
Niko na ww Bro.Mapenzi yafutwe tu.....
Tatizo ni itakutesa sanaKumpuuzia tena, siyo kumuonyesha huo upendo wako?
Mpwa 20,000 siyo kitita ila nimekuelewa. Mapenzi ya pesa yafutwe kabisa!Niliamua kusitisha zoezi la kumwaga mbegu zangu hovyo, baada ya bidada mmoja kusema nimpe kitita cha elfu20 ili nilale nae, nikamwambia mbona wewe hunipi elfu20 au raha unajipa mwenyewe, akasema me mkorofi.
Kwasasa kama si kupewa kimasihara/kwa lengo la kuzaa basi sifanyi ngono.
Kweli kabisa na zinavunjika haswa kuvuka hapa 40-50 ni pagumu sana!Ukweli mchungu, huwa inahitaji jitihada za ziada kurudisha penzi mkishazoeana na kuwa na watoto. Late 30's to early 40's kipindi kigumu sana cha ndoa nyingi!